Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

Vukani, mbona maswali magumu haya. Hivi leo umewaza nini?

yashamkuta huyo anajutia kiumbe chake miaka hiyoo. Anyway bibie kuna mambo mengi yanachangia kuharibika kwa mimba.

1. KUTOA MIMBA OVYO
Hili ni wachache wenye ufahamu sana na baya zaidi hupelekea kutopata kabisa mtoto huko mbele ya safari ;Utoaji wa mimba imekuwa tatizo sana hasa kwa mabinti wanaokuwa hivi leo..hili la kutoa mimba mara kwa mara hupelekea kulegeza kizazi na hivyo kukuhatarisha hata kupata watoto na hata wakizama ndani kuweza kukaa miezi tisa ni ngumuu kutokana na kizazi kutamani kushusha zigo tena lingine kumbe hilo umeamua kukaa nalo kimoja.

2. UZEMBE
Kuna wanwake wengi wanaua watoto wao kutokana na uzembe wao..wapo wanaojua muda fulani wanakaribia kuzaa lakini wanashindwa kujiandaa ama kuwa karibu na mazingira ambayo ikitokea uchungu wanwaweza pata msaada wa haraka na hili hupelekea watoto kunywa maji maana mpaka inapopasuka ile chupa yao na ufike hospital shuguli mtoto anakuwa amekula udirinki mbaya hivyo ukitoa mtoto wachache wanaopumua hapao hapo baada ya dk kadhaa ni marehemu.

3. KIZAZI KULEGEA
Hili linatesa wengi sana sana maana hata madk wamekuwa wkaila hela sana bila maffanikio ..kizazi kinaposhuka inakuwa ngumu kidogo kuhold mtoto wacha hiyo kwa nza wnye shida kama hii hata kupata mtoto inawasumbua sana. Hili ni muhimu once unapojua una tatizo jitahdi uwahi kwa dk kupata msaada..hili huchangia mimba kuharibika na hivyo
kuleta upungufu wa idadi ya watu duniani.

4. KUMWAGA MBEGU OVYO KWENYE MALAILON (CONDOM)
Hili linachangia sana sana kuharibu watoto. Kwa bahati mbaya hawa unakuta awajaanza kuumbika lakini kama
wangeingizwa kwenye uke wa mwanamke uwezekano wa kuwa watoto ni mkubwa sana. Kkwa bahati mbaya watoto
hawa wanauwawa kwa kutumia malailoni ya wazungu ambayo wameifanya kama sehemu ya kumwagia mbegu
Kama wanawake wengi wangeachana na matumizi ya Kondom naamini watoto wengi wanaouhifadhiwa kwenye
yale ma plastic hakika wangetupeleka mbali sana. Hili si upande wa mwanamke tu bali na mwanaume ambae ndie
anashauriwa na mwanamke kumwaga hizo mbegukwenye mifuko yao. Ninahisi hili nalo ni muhimu kuliangalia.
 
Wanajamvini majuzi kuna jamaa angu mmoja wifey wake alikuwa na mimba iliyokaa kama wiki tatu nne hivi sasa ghafla akashangaa wifey anableed, akaenda hospital wakamwambia ni incomplete abortion sasa akaenda kupima Utra Soundili waone kama kuna masalia yamebaki wakaona kuna free fluids katika Douglas Pouch sipata kuelewa hii inasababishwa na nini na ni kitu gani hati, Msaada plz
 
Ndio jmn maana jibu ya utra sound sijalielewa kama ujuavyo hospital zetu hizi ikifika saa saba doctor hayupo rudi kesho so before hiyo kesho bora nijue nini?
 
ndio jmn maana jibu ya utra sound sijalielewa kama ujuavyo hospital zetu hizi ikifika saa saba doctor hayupo rudi kesho so before hiyo kesho bora nijue nini?

An ectopic pregnancy, or eccysis , is a complication of pregnancy in which the embryo implants outside the uterine cavity.[SUP][1][/SUP] With rare exceptions, ectopic pregnancies are not viable. Furthermore, they are dangerous for the parent, since internal haemorrhage is a life threatening complication. Most ectopic pregnancies occur in the Fallopian tube (so-called tubal pregnancies), but implantation can also occur in the cervix, ovaries, and abdomen. An ectopic pregnancy is a potential medical emergency, and, if not treated properly, can lead to death.

In a normal pregnancy, the fertilized egg enters the uterus and settles into the uterine lining where it has plenty of room to divide and grow. About 1% of pregnancies are in an ectopic location with implantation not occurring inside of the womb, and of these 98% occur in the Fallopian tubes.

Detection of ectopic pregnancy in early gestation has been achieved mainly due to enhanced diagnostic capability. Despite all these notable successes in diagnostics and detection techniques ectopic pregnancy remains a source of serious maternal morbidity and mortality worldwide, especially in countries with poor prenatal care.[SUP][2]

230px-Ectopic.png
 
Miongoni mwa sababu za mimba kutoka ni mimba kutungwa inje ya kizazi(ectopic pregnancy),magonjwa,viungo vya mfumo wa uzazi (reproductive system) kutokuwa katika hali ya kawaida (abnormality),kupata ajali inayosababisha mtikisiko mkubwa kwa mama,kunywa madawa zaidi ya kipimo cha kawaida nk. matibabu hutegemea na chanzo chake.
 
Kuhusu free fluid ni kitu cha kawaida huwa baadaye inakuwa absorbed kwenye mwili,kama maji yanakuwa mengi sana inaweza kuwa sababu ya kupasuka uvimbe uliokuwa umejaa maji kwenye ovary(ovarian cyst),hata hivyo waweze kumuona tena aliyekutibu kujua ilikuwa nini hasa.hata hivyo hakuna shida kama hakuna infection.
 
Pouch of Douglas ni uwazi unaokuwa kati ya kizazi na kibofu cha mkojo, ambacho kwa kawaida huwa na maji maji ya kiasi (peritoneal fluids) endapo itaonekana maji yamekuwa mengi , inawezekana hiyo mimba imetungwa nje ya kizazi na ikasababisha some bleeding ikajikusanya kwenye pouch, wakati mwingine inawezekana alipata tubal abortion ambayo ikasababisha beeding kwenye pouch. Infection ya viungo vya uzazi (PID) pia husababisha fluid collection kwenye POD.
 
Tafadhali Dr nisaidie sababu ya mimba kuharibika. Nilikuwa na ujauzito wa wiki tano.Kuanzia niliposhika mimba mpaka mwezi mmoja nilikuwa na dalili zote za ujauzito. Kuanza wiki ya tano dalili zote zikapotea, nikawa kama sio tena mjamzito.Nilipoanza wiki ya 6 nikapata miscarriage. Sasa hii inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom