Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Kwani ni lazima iwe September hiyo hiyo!? Kumbuka kuna kipindi cha miaka minne ya kumfuata badoPm kasema mawaziri na wizara zimfuate....bila shaka atakayechelewa atatumbuliwa
Kwani ni lazima iwe September hiyo hiyo!? Kumbuka kuna kipindi cha miaka minne ya kumfuata badoPm kasema mawaziri na wizara zimfuate....bila shaka atakayechelewa atatumbuliwa
CAGTuweke Orodha Ya Wateuliwa Wa Rais Ambao Kimsingi Na Agizo Lake Lazima Aende Nao Dodoma Kule:-
Makamu Wa Rais
Waziri Mkuu
Mkuu Wa Majeshi (CDF)
Mkuu Wa Jeshi La Police
Mkuu Wa Usalama Wa Taifa
Mkuu Wa Takukuru
Mkuu Wa Jeshi La Magereza
Ongozeeni Orodha
dahh!nyie watanzi kazi kweli kweli,hivi sorry...mnata nini?maake kila alifanyalo bayaHii nchi sijui inaendeshwa kwa kauli za mtu mmoja?!
mkuu wanapigania tumbo...we unafikili waposho bila kuchafuaKwa nini bavicha mko negative sana, hamuoni vitu on a positive side? Mmerogwa!!
September ni majaliwa, Magufuli amesema within five years, hili nalo pia la kuuliza?Hata kama wamerogwa naamini wana pointi kuuliza hasa baada ya kuona kuna commitment ya by September. Hapo ndio malengo ya budget na uhalisia kupishana. Sio issue ya BAVICHA tu tunatakiwa wote tudadisi.
Kuhama ni muhimu, na mimi naona ni hatua nzuri JPM amechukua. Nafikiri watahama hatua kwa hatua. Sidhani kama unaweza kuhamisha Wizara zote kwa mara moja.
SAWA SAWA... kama magufuliMkuu,
Kuna uthibitisho wowote kwamba serikali hufuata mafungu yaliyopitishwa na bunge?
Mfano matumizi ya katiba mpya yalipitishwa lini?
Yawezekana kabisa Rais akiamua lolote litafanyika tu, wanasiasa wengi wakiwemo wabunge wapo wapo tu kufuata upepo (hawajui nguvu yao).
Hata hivyo, hali hii yaweza kuwa na manufaa kwa nchi tunapokuwa na Mkuu wa nchi mzalendo na mwenye AKILI nzuri inayowaza kwa ufanisi.
unamuda gani umeanza kufatilia maswala ya nchi yako?sorry nakuuliza sio kwa kukosea heshima...ila kama kweli wewe umekuwa ukifatilia hili swala sio la leo.Siyo kila MTU anayesema ukweli no Bavicha! Mradi mkubwa kama ule wa kuhamia Dodoma hauwezi kutekelezwa kitaalam bila kutengewa fungu kwenye bajeti! Tutegemee kutakiwa kufunga mikanda
Kwani wote wanafanya kazi ofisi moja!?Ila kumbuka pia PM hawez kwenda then mawazir walio chin yake wakabak dar.
Tena hawa nizaidi ya kurogwaKwa nini bavicha mko negative sana, hamuoni vitu on a positive side? Mmerogwa!!
Huwezi ukaiona kwakua katika Tanzania CIVICS ni THEORY...Sioni tena separation of Power niliyojifunza kwenye Civics.
Nani kakwambia yalifutwa??yalipunguzwa ila sio kufutwa (tafuta bajeti usome)..u can't run ofc bila matumizi mengineyo...kakwambia ana hama na ofc nzima??wanakaa dodoma mwezi mzima kwa ajili ya bunge,we unadhani ofc yake yote nayo inakua imehama??Huku tuliko sisi mafungu mengineyo yalifutwa. Labda kama waziri mkuu anayo-lakini hahami pekeyake au sivyo ile misafara isiokwisha kati ya DAR na DDM itaanza tena.