kufuru ya Chadema Kirumba

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Ulikuwa ni mkutano wa baadhi ya wabunge mkoa Mwanza wakiwashukuru wananchi kwa kuwapa ridhaa tena ya kuwaongoza, mkutano umeambatana na urudishwaji kadi na zikachomwa moto DSCN3236.JPG , Zimerudishwa kadi zaidi ya 90 za CCM na za CUF.Watu walikuwa wengi tizama hizi picha k

Nawasilisha. DSCN3245.JPG
 
Kufuru?
Kufuru ni namna ya dhambi!
Unaposha umma hapo hakuna kufuru yoyote!
 
Hao unaosema Watu wengi wako wapi? au kamera iliisha betri watu wakafutika na kubaki wachache?

Naona magari ndio yalikuwa mengi!!!!!!!!!!!
 
Kweli kama alivyosema mkuu hapo juu, hata mm jana nilishudia kipindi nafika mwanza, nilikuta watu kibao maeneo ya kuanzia Nera kuelekea mwaloni kwenye muda saa tisa hivi.
 
Back
Top Bottom