Kufungua Ideos za Tigo

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kuzifungua hizi simu Ideos za Tigo msaada tafadhali,nataka kutumia SIM card ya airtel kwa ajili ya intaneti.
 
Hapo mpaka uiunlock na kuna software kama DC unclocker ila lazima ulipie kupata credits..!! Easy Tafuta fundi simu tuu wapo wengi wanafanya hizo mambo
E12F.png
 
Back
Top Bottom