Kufuli 'seken-hendi', zipigwe marufuku au hali ile ile?

To look sexy si lazima uvae gstring ndugu yangu. Kuna styles nyingi za chupi unaweza kuvaa hata boxer za kike pia ni nzuri. Mimi mwenyewe sishauri gstring. Kwanza hizo gstring si wote zinawapindeza halafu hata kama si ya mtumba gstring zinachubua sometimes zinaweza kumletea m2 maradhi.

Ila utakubaliana na mimi kuwa wako wanaonunua Gstrings za mtumba (niliweka kama mfano wa extreme case tu)

Nikuulize jengine, kama una rafiki yako anakaa Majuu akatumia chupi zake, akimaliza kutumia akikupa wewe utatumia?

(Ni katika kutathmini dhana nzima ya mtumba tu)
 
Mwalimu naona leo uko bize na makufuli.

Hivi kuna watu wanavaa makufuli ya mitumba mpaka karne hii?
 
Mwalimu naona leo uko bize na makufuli.

Hivi kuna watu wanavaa makufuli ya mitumba mpaka karne hii?

Sio kuna watu.....hao watu wapo hapa JF, Furahi akiwa mmoja wao.

:teeth:

Unataka wenzio wasiwe sexy?
 
Sio kuna watu.....hao watu wapo hapa JF, Furahi akiwa mmoja wao.

:teeth:

Unataka wenzio wasiwe sexy?

Kuwa sexy na mikufuli waliyotumia watu wengine? kwanini wasinunue mpya?

Kweli Miafrika Ndivyo Tulivyo....hapa nakubaliana na Nyani Ngabu!!!
 
Kuwa sexy na mikufuli waliyotumia watu wengine? kwanini wasinunue mpya?

Kweli Miafrika Ndivyo Tulivyo....hapa nakubaliana na Nyani Ngabu!!!

Lol

Watakwambia kwani si ishaoshwa, tatizo kitu gani bwana
 
Kuwa sexy na mikufuli waliyotumia watu wengine? kwanini wasinunue mpya?

Kweli Miafrika Ndivyo Tulivyo....hapa nakubaliana na Nyani Ngabu!!!

Habari bana....
Talking of extreme poverty....less than 1$ a day....
 
Habari bana....
Talking of extreme poverty....less than 1$ a day....

St.RR sh'kang!

Furahi kasema tatizo sio bei, kwa sababu za mtumbani ni 1000-2000 wakati Kariakoo zipo za 500. Girls wanataka hizo za mitumba kwa sababu ni sexy.
 
Lol

Watakwambia kwani si ishaoshwa, tatizo kitu gani bwana
Duh! Hiyo hoja sina hamu...Ni sawa na kuchemsha sindano siyo? Kwahiyo waweza tapika pia, ukayapika matapishi yako upya ukayala. Me sivai chupi alilovaa mtu mwingine bana. Nisameheni....

Habari bana....
Talking of extreme poverty....less than 1$ a day....
Mkuu Chupi ya kichina haizidi Tshs 500. Na ukinunua tatu pale kariakoo, unaongezwa moja.....! Na unaambiwa hayo ya mtumba ni aghali kuliko mpya. Ulimbukeni bana..... Sitashangaa tukitawaliwa tena....Miafrika ndivyo tulivyo!
 
Ndo maana nikauliza, hizo kufuli kama zimevaliwa na mtu unaemjua unaweza kuvaa akishaacha yeye au kwa kuwa hizi kavaa Mzungu?
 
Furahi umenifurahisha @unless uniambie wewe ni padri!

Sasa wewe chupi unataka kuvaa miezi sita yote hiyo ya nini? Kisha huu mtindo walionao wengi bongo wa 'kuroweka' chupi kwenye sabuni ndo kunakopelekea chupi kuchakaa upesi.

Hivi zinauchafu wa kiasi gani mpaka irowekwe?

Za fashion nauliza ndo zipi maana kuna wengine wao boy shorts kwa wanawake wanaona ndo fashion, wakati wengine wanaona za kwenda mpaka kwenye kitovu na kubana tumbo ndo mwake.

Wengine wanaona lace ndo inayotakiwa, wakati wengine wanataka plain white cotton. .........

Ndo maana nikauliza, fashionable ni zipi?

LOL! fashionable ni zile za kamba.... wenyewe wanaziita G string!
 
St.RR sh'kang!

Furahi kasema tatizo sio bei, kwa sababu za mtumbani ni 1000-2000 wakati Kariakoo zipo za 500. Girls wanataka hizo za mitumba kwa sababu ni sexy.

Mwalimu wake Asprin hujambo?
Nakubali kuhusu suala la wanunuaji wanaotafuta chata kubwa....ila pia kuna wengine (wengi tu) wanaonunua kwa sababu ya bei...
Kuna hadi za 200!
 
Samora vipi wewe na chupi ya mtumba? A NO NO au a Yes sometimes?
 
Kimey wale infi......wanaokupendezeshea na vile vyupi vya pink na makopa kopa ujue vinatoka huko huko kwenye mitumba. :whoo:
Sasa mwalimu unanishauri vp....ntajuaje hii ya mtumba nikiwa kwenye Infii....
 
Mwalimu wake Asprin hujambo?
Nakubali kuhusu suala la wanunuaji wanaotafuta chata kubwa....ila pia kuna wengine (wengi tu) wanaonunua kwa sababu ya bei...
Kuna hadi za 200!

Sipati picha chupi ya 200 imevaliwa mpaka ikawa hoi kiasi gani ndo ikauzwa hivyo? (kama kuna za 2000 pia)

Kweli ukiwa maskini huna chako. Inasikitisha hasa.
 
Sasa mwalimu unanishauri vp....ntajuaje hii ya mtumba nikiwa kwenye Infii....

Mwalimu wangu hajui kama tukishaingia usalule huwa hatuna kazi nyingine zaidi ya kutafuna kitumbua. Kifunika kitumbua si kazi ya infideletaz!
 
Sasa mwalimu unanishauri vp....ntajuaje hii ya mtumba nikiwa kwenye Infii....

Huwezi kujua kaka, furahia kwa macho tu. Na ikifika usawa ule unahakikisha kuna Plastik ya kuhakikisha inakukinga. :teeth:

Lakini ukiona mtu anakuomba pesa ya chips zege lakini chupi Valentino au Armani unajua huyu itakuwa ndo akina waleee ....:embarrassed:
 
Mwalimu wangu hajui kama tukishaingia usalule huwa hatuna kazi nyingine zaidi ya kutafuna kitumbua. Kifunika kitumbua si kazi ya infideletaz!

Hahahaha ............Sasa wasihangaike bure ya kutafuta ya sexy kumbe :p
 
Sipati picha chupi ya 200 imevaliwa mpaka ikawa hoi kiasi gani ndo ikauzwa hivyo? (kama kuna za 2000 pia)

Kweli ukiwa maskini huna chako. Inasikitisha hasa.

Kwa hiyo hapa kuna scenario mbili....
  1. Kuvaa kufuli za mtumba kama fashen
  2. na kuvaa kwa kukosa mbadala....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom