Kufuli 'seken-hendi', zipigwe marufuku au hali ile ile?

Samora vipi wewe na chupi ya mtumba? A NO NO au a Yes sometimes?

ha ha ha ha mi hizo kufuli za mtumba hapana aisee... unajua hata kama ni gharama ndogo magonjwa unayoweza kupata kwa kuvaa hizo pichuinaweza kukucost maradufu kwa matibabu
 
Huwezi kujua kaka, furahia kwa macho tu. Na ikifika usawa ule unahakikisha kuna Plastik ya kuhakikisha inakukinga. :teeth:

Lakini ukiona mtu anakuomba pesa ya chips zege lakini chupi Valentino au Armani unajua huyu itakuwa ndo akina waleee ....:embarrassed:

leo nimejifunza hapa kumba kuna chupi za madesigner pia, sijui hizo valentino na armani zinaonekanaje mwenzanu mie mshamba!
 
Hahaha....WOW!!!...Im at loss of words mkuu!
 
Ukinunua chupi ya mtumba una uwezo wa kuivaa hadi 6 months but chupi ya mchina ya sh 500 haimalizi mwezi! Ninaposema fashionable kama wewe ni mwanamke au mwanaume unayejua fashion utakuwa umenielewa, unless uniambie wewe ni padri!
unataka kuvaa chupi mpaka uimalize mwenyewe pesa yako iiishe au siyo? ninyi ndo mnatumia mswaki mmoja miezi sita kisha umeununua pesa nyingi na ni fashionable
 
leo nimejifunza hapa kumba kuna chupi za madesigner pia, sijui hizo valentino na armani zinaonekanaje mwenzanu mie mshamba!

Zipo Mom, zimejaa tele, pesa yako tu.

Ukiona bikini unaikunja na hupati hata one cubic inch ya ujazo unajua huyo designer! lol
 
Ukinunua chupi ya mtumba una uwezo wa kuivaa hadi 6 months but chupi ya mchina ya sh 500 haimalizi mwezi! Ninaposema fashionable kama wewe ni mwanamke au mwanaume unayejua fashion utakuwa umenielewa, unless uniambie wewe ni padri!
hizo za mitumba ziko sana mijini huku ambao mshajua fashion
Nilivyozungumzia miezi sita nilikuwa nazungumza kwa watz wote coz nina uhakika asilimia 80 ya watz ni maskini. Hawana uwezo wa kununua chupi kila MWEZI. Mimi mwenyewe siwezi vaa chupi miezi 6! Lakini hiyo hainifanyi nikanunue lonya la 500 kisa sitaki kuivaa muda mrefu! Fashionable ni namna unavyoonekana unapoivaa. Am sure many girlz wants 2 look sexy in underwearz au unasemaje?
chupi hizi za 500 tumevaa sana vijijini huko na ndio zipo, labda kama kijiji nilichotoka mie kimepambazuka, lkn chupi za mitumba kule ni adimu.
kuchakaa kwa chupi ni utunzaji tu jamani, mie nilikuwa na chupi za since form 1 hadi namaliza 4 na kuendelea
 
hizo za mitumba ziko sana mijini huku ambao mshajua fashion

chupi hizi za 500 tumevaa sana vijijini huko na ndio zipo, labda kama kijiji nilichotoka mie kimepambazuka, lkn chupi za mitumba kule ni adimu.
kuchakaa kwa chupi ni utunzaji tu jamani, mie nilikuwa na chupi za since form 1 hadi namaliza 4 na kuendelea

Zitaacha wapi kuchakaa wakati zinalazwa kutwa nzima kwenye Jic na Foma!

Lazima ujiulize kiwango cha stain kwenye hiyo nguo kuhitaji that kind of treatment
 
Ndo maana nikauliza, hizo kufuli kama zimevaliwa na mtu unaemjua unaweza kuvaa akishaacha yeye au kwa kuwa hizi kavaa Mzungu?
Jamani mimi sivai za mtumba ila nazungumza kwa niaba ya wavaaji. Afterall kwani ishu ni nini hapa? MARADHI? Kama tungeogopa sana maradhi tungeenda huko marestaurant na vijiko vyetu , glass zetu nk. Una uhakika kijiko unachopewa kimetumika na nani? Kimeoshewa maji gani? Wa2 mnavyo/wanavyo chukua sex workers mnajua wamepitiwa na wa2 gani? Ulisikia wapi mtu kapata maradhi kwa kuvaa second hand? Acheni hizooooooooo. Acheni tuv.. oh sorry wavae!
 
Lol

Watakwambia kwani si ishaoshwa, tatizo kitu gani bwana

mie nilidhani zinapendwa sbb ni bei rahisi kumbe sivyo,sipati picha gstring ya mtumba hata ioshweje maana huko inakotumbukiaga,hapana mamangu yataka moyo.
 
Jamani mimi sivai za mtumba ila nazungumza kwa niaba ya wavaaji. Afterall kwani ishu ni nini hapa? MARADHI? Kama tungeogopa sana maradhi tungeenda huko marestaurant na vijiko vyetu , glass zetu nk. Una uhakika kijiko unachopewa kimetumika na nani? Kimeoshewa maji gani? Wa2 mnavyo/wanavyo chukua sex workers mnajua wamepitiwa na wa2 gani? Ulisikia wapi mtu kapata maradhi kwa kuvaa second hand? Acheni hizooooooooo. Acheni tuv.. oh sorry wavae!

Vaeni kwa raha na nafasi tena. Kama watu wote hawaogopi maradhi muogope nyie tu kwa nini?
 
Jamani!!!!, Huu si umaskini, bali ni Kasumba ya kujitakia makuu, Si Lazima kuvaa machupi yaliotumiwa na wazungu, huweezi kujua zilitupwa kwa ajili gani, pengine baada ya kupangusia nini hii..........Ndugu zangu kwani lazima mtu kuvaaa chupiiiii, na hili joto letu?(Hii pia ni kasumba ya Mwingereza), mimi hua si vaiiiiii, na tembea "COMMANDOOOO"!!!!!!!!!, pia najua wengi wenu hamvaiiiii
 
Zitaacha wapi kuchakaa wakati zinalazwa kutwa nzima kwenye Jic na Foma!

Lazima ujiulize kiwango cha stain kwenye hiyo nguo kuhitaji that kind of treatment
ndio hapo sasa, na huko vijijini pia pamoja na umasikini wao hawaugui fungus ovyo!
 
Ha ha ha ha haaaa!!!! Wabongo bwana. Hata zikija zile zinazotumika na kina mama wakati wa service watazikimbilia na watakuambia ziko stong na fashibale. Du!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom