Think tank yetu imetoboka pakubwa inavuja mkuuu ....Sure mzee think tank yetu ina shida mahala asee
Daaah pole sana mkuu, juzi waziri kasema eti nyie waongo mbona fedha ya serikali inayokusanywa haijashuka? Anyway mimi nakuamini usemacho maana pale mtaani kwangu mawakala wawili wameniambia kama wewe usemavyo. Zamani nikiwa mbali nilizoea kuwapigia na kuwaambia mtumie fulani laki moja jioni nikipita hapo nakupa cash sasa hivi imekuwa ngumu kweli....Yaani hasara nimemuajiri mtu ninamlipa bado wateja wachache sana tofauti na kabla,sasa nimeweka interval hadi December kama hawaja fanyia kazi bye bye
Imekuwa think kindoo badala ya think tankSure mzee think tank yetu ina shida mahala asee
Kwa hiyo unataka kusema hatupo uchumi wa kati siyo??Wabongo bana yani vikodi vidogo tudogo mnazokatwa na kutozwa yani mnalalamika kama vibinti vya chekechea vikicheleweshewa uji wa asubuhi. Lipeni kodi bana kwa CCM iwaletee maendeleo siyo kila kukicha nikulialia tu.
Yaani hasara nimemuajiri mtu ninamlipa bado wateja wachache sana tofauti na kabla,sasa nimeweka interval hadi December kama hawaja fanyia kazi bye bye
Pole! Tanzania biashara yoyote haieleweki kutokana na walioko serikalini.Yaani hasara nimemuajiri mtu ninamlipa bado wateja wachache sana tofauti na kabla,sasa nimeweka interval hadi December kama hawaja fanyia kazi bye bye
Kuna uwezekano tulishatoka huko, ila fedheha kusema hadharani, maana uchumi wa kati tuliokuwamo ni ' uchumi wa kati wa chini'Kwa hiyo unataka kusema hatupo uchumi wa kati siyo??
Brother mshanajr naweza pata link yenye hiyo clip? imenivutia sana niisikilize yote