Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,480
40,479
Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi?

Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k.

Kwa upande wangu nina ushuhuda wa binti mmoja miaka hiyo ya mbali, ambaye alinivutia kimuonekano na nikashawishika kweli kweli; na kimoyo moyo nikawa najisemea huyu atakuwa mke wangu (wakati huo yeye alikuwa akisoma kidato cha sita shule ya wasichana huko machame).

Baada ya binti kuniona nimekolea kwenye mahusiano; akawa hataki kufanya majaribio ya mitambo, akawa anasema mpaka tutakapofunga ndoa.

Tulikaribia kumaliza mwaka mzima, lakini yeye alibaki na msimamo wake. Mwisho wa siku, nikang'atuka nikaanza kutafuta jimbo lingine na maisha mengine yakaendelea.

Kilichomgharimu au kumfukuzia mume mtegemewa, ni ile hofu ya kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa.

Inawezekana humu, kuna wengine hawajafikia ndoa kutokana na sababu hiyo au zinginezo.

Na kufanya majaribio ni muhimu, ili kuepusha ile hali ya kuja kuishi na mtu mwenye nazo mbili kwa wakati mmoja.

Mfano; umevumilia mpaka ndoa, baada ya ndoa unagundua mwenzako anazo mbili, utafanyaje?
 
Unajua tatizo linakuja wapi? Utalinganisha! Na hapo ndio usaliti utakapoanzia..lakini ukioa bila kutest mitambo na yeye ukamkuta bikra ina maana wote mtajuana ukubwani na mtapendana kweli..ila ukijaribu tu kuonja nje..utazoea..! Kwani utagundua utofauti..japo kuna mwamba kule Tanga alikua na mabasi yake yanaitwa Zafanana.
 
Kwa hiyo ni bora kuishi kwa kuamini mpaka ndoa?
 
Kidini na kimila ni dhambi, pia.
Kwann dini na mila zinapinga ngono kabla ya ndoa hata kisayansi pia jibu ni Ili kuzuia upofu wa kutoona mabaya ya mwenza, so mtaingia kwenye ndoa kwa pressure ya nyege na sio upendo, baada ya miezi 3 hadi unaanza ziona tabia za mwenza kifuatacho ni talaka.
 
Kwa hiyo kutest mitambo ni muhimu
 
Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi?

Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k.

Kwa upande wangu nina ushuhuda wa binti mmoja miaka hiyo ya mbali, ambaye alinivutia kimuonekano na nikashawishika kweli kweli; na kimoyo moyo nikawa najisemea huyu atakuwa mke wangu (wakati huo yeye alikuwa akisoma kidato cha sita shule ya wasichana huko machame).

Baada ya binti kuniona nimekolea kwenye mahusiano; akawa hataki kufanya majaribio ya mitambo, akawa anasema mpaka tutakapofunga ndoa.

Tulikaribia kumaliza mwaka mzima, lakini yeye alibaki na msimamo wake. Mwisho wa siku, nikang'atuka nikaanza kutafuta jimbo lingine na maisha mengine yakaendelea.

Kilichomgharimu au kumfukuzia mume mtegemewa, ni ile hofu ya kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa.

Inawezekana humu, kuna wengine hawajafikia ndoa kutokana na sababu hiyo au zinginezo.

Na kufanya majaribio ni muhimu, ili kuepusha ile hali ya kuja kuishi na mtu mwenye nazo mbili kwa wakati mmoja.

Mfano; umevumilia mpaka ndoa, baada ya ndoa unagundua mwenzako anazo mbili, utafanyaje?​
Dunia iko ukingoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom