Kuepusha fumanizi na vipigo, barua za namna hii zinahitajika!!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Mimi
S.L.P 0000
Hapahapa​
YAH: MAOMBI YA KUSHEA MAPENZI NA BWANA AKO/MKEO.
Rejea kichwa cha habari, mimi ni msichana/mvulana mwenye umri wa kutosha tu na mtanzania halisi. Naomba kushea mapenzi na bwana ako/mkeo naamini nitamtumikia vizuri kwani nina uzoefu wa kutosha kutembea na waume/wake za watu kwa muda mrefu toka nikiwa mtoto.
Ni matumaini yangu kuwa utakubali ombi langu!!
Wako mtiifu
Mcharuko/Fataki​
 
Bila kusahau CV inayoonyesha mamia ya watu uliowatanguliza mbele za haki kwa VVU.
 
:lol:

Hahaaaa!!! Katavi bana umenifanya nimecheka hadi lunch imejipanga vizuri tumboni

Naungana na Mku Komedi kuwa kuonesha experience ni muhimu sana
 
Mimi
S.L.P 0000
Hapahapa​
YAH: MAOMBI YA KUSHEA MAPENZI NA BWANA AKO/MKEO.
Rejea kichwa cha habari, mimi ni msichana/mvulana mwenye umri wa kutosha tu na mtanzania halisi. Naomba kushea mapenzi na bwana ako/mkeo naamini nitamtumikia vizuri kwani nina uzoefu wa kutosha kutembea na waume/wake za watu kwa muda mrefu toka nikiwa mtoto.
Ni matumaini yangu kuwa utakubali ombi langu!!
Wako mtiifu
Mcharuko/Fataki​

Nadhani umekosea kumalizia bila shaka ulikusudia

Wako mtiifu
Mcharuko/Katavi
 
Hivi kwenye hiyo cv si inabidi kuwe na walau ka-passport size foto?nadhani ni muhimu kupata idea mwenza anafananaje!
 
Mimi
S.L.P 0000
Hapahapa​
YAH: MAOMBI YA KUSHEA MAPENZI NA BWANA AKO/MKEO.
Rejea kichwa cha habari, mimi ni msichana/mvulana mwenye umri wa kutosha tu na mtanzania halisi. Naomba kushea mapenzi na bwana ako/mkeo naamini nitamtumikia vizuri kwani nina uzoefu wa kutosha kutembea na waume/wake za watu kwa muda mrefu toka nikiwa mtoto.
Ni matumaini yangu kuwa utakubali ombi langu!!
Wako mtiifu
Mcharuko/Fataki​

Atakayeruhusu nani? Aendelee kuiba hivyo hivyo!
Ukimruhusu akikuzidi ujuzi je?!
 
Back
Top Bottom