Elections 2010 Kuepuka aibu..Masha!

Kila la heri brooooooda!!! Siku ukiachana na uchekibobu na ukaheshimu watu basi utarudi kwenye siasa. Fahamu watz sasa wanaendelea kufunguka macho kidemokrasia na walishajua kuwa hata kama utapokea rushwa yoyote hakuna anayekuona kwenye chumba cha kupigia kura "KULA CCM KURA CHADEMA". Not always, money is powerful!!! much more attributes are needed!!

Miaka ijayo tunataka wanasiasa wasafi wa tabia, matendo na mienendo; especially wasio na skendo za ngono na ufisadi.
 
Huyu bwana mdogo amepata disprini.
Kashazoea kubebwa bebwa tu.
Bila shaka Reginard Mengi amefanya sherehe fupi ya kushangilia anguko la Masha.
 
Duh... inconsistency kati ya swali na jibu... Alikuwa na tetemeka nini? Ati atapiswa lini jamani?
Bora mwisho...
Pole sana Mh. usipate
A%20S-confused1.gif
Hongera sana Mabadiliko :peace:
 
hivi nilivyo mwona jk na masha kwenye kampeni na nyomi ya watu kumbe walikua wameenda kushaanga tu mkwere na wanamziki wake ila moyoni wana hasira kali!kweli watu wameamua!kabaaaaaaaaaaag

baadaye ilikuja kugundulika kuwa wapiga picha wa mikutano ya jk na ccm walikuwa wakiwakabidhi akina miraji kikwete picha walizopiga ambao huzichakachua kwa photoshop na kuwarejeshea waandishi kwa matumizi ya vyombo vya habari, ndio maana tulikuwa tukiona kama kuna nyomi vile.
 
Huyu bwana mdogo amepata disprini.
Kashazoea kubebwa bebwa tu.
Bila shaka Reginard Mengi amefanya sherehe fupi ya kushangilia anguko la Masha.

Sio mengi tu, hata mimi nimeandaa inner part nyumbani kwangu, yaani mimi na familia yangu ni furaha tu!
 
Hatutaki viongozi wa aiba yake ya mtazamo wa kuku, majigambo yao, jeuri yao, kebehi zao, lakini nguvu ya umma inabaki kuwa ya umma aende zake state akafanya biashara ya uchuuzi, bali watanzania tunamwambia tumekwisha kumchoka hatufai sasa na baadaye. Aendelee na shughuli zake za kutafuta namna ya kudhulumu na kufisadi halafu tutakuja kummalizia.
 
Huyu Waziri ndio yule aliyekuwa anashindana na mkurugenzi wa makampuni ya IPP au ni mwingine?
Naona vyombo vya ITV vinarusha sana matokeo ya Mwanza.
Naona Bw Regnald Mengi atakuwa na raha sana pale Moshi Machame.
 
Dili la Vitambulisho limeyeyuka..... teh teh teh

Kama kawaida yao...Hapa angepiga ERA kinyama kaka........Najua hii itakua inamuuma sana koz kwa jinsi nijuavyo jamaa atakua aliicholea ramani kali sana ya kufyatua mamilioni kwenye acc zake.....lakini wasukuma wa Mwanza wakasema nooo....Ile Dili ungeipiga kabisa sasa huipati ng'oooooooo.......Bye Bye Masha.......Ila dnt wory JK will Teua U....Au VP???????
 
Huyu Waziri ndio yule aliyekuwa anashindana na mkurugenzi wa makampuni ya IPP au ni mwingine?
Naona vyombo vya ITV vinarusha sana matokeo ya Mwanza.
Naona Bw Regnald Mengi atakuwa na raha sana pale Moshi Machame.

Sure waliwahi kuzenguana kipindi...Mengi alisema kuna kawaziri kadogo kanamtafuta.......Kama kawaida ya Bongo hakuna kumpenda ADUI ni full uhasama so lazima Mengi awe Happy...tena atakua anakula Machalari tu pale Machame huku anasukumia ka Mbege kwa mbaaali sana....nadhani watu wa Nkwarungo wote watukuwa Happy.....
 
Back
Top Bottom