Kuendelea kupanda kwa gharama za maisha ....

Hhm

Member
Apr 28, 2010
69
14
Kuendelea kupanda kwa gharama zao maisha nini kifanyike?? Maoni wanaume jf
 
Suluhisho kubwa ni kupata nishati ya umeme hivyo bei za bidhaa za viwandani zitapungua, bei za pembejeo na zana za kilimo zitapungua hivyo hata bei za chakula zitapungua. Uzalishaji wa ndani uhimizwe zaidi, bei za fueli zidhibitiwe.
 
Back
Top Bottom