Kuelekea Valentine jirani yangu amekuwa kero

You can choose a friend. Unfortunately you cant choose your neighbour!

Masanja
 
icon1.png
Re: Kuelekea Valentine jirani yangu amekuwa kero


Mwanangu kidume huwa hakilalamiki kinapoletewa dharau kama hizi.
Huyo dawa yake unaleta mzigo kama huo hapo chini halafu unaulia uwanjani kama yeye..
Kesho yake atakualika kitimoto na bia kwa matumaini kwamba ipo siku utaleta mzigo na rafiki yake na yeye ajishindie:
attachment.php



Hapo sina mchango!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi huyu mama siwezi nami kupata nafasi ya kumsogelea kwa ukaribu? Maana hiyo kitu/mgongo sio mchezooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom