Kuelekea Valentine Day huu ndiyo Mgawanyo wangu wa Salamu za Upendo kwa Wahusika Wote

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mwenyezi Mungu 50%

Wazazi Wangu 40%

Walimu na Wahadhiri wangu 4%

Simba SC yangu 3%

Wapenzi wangu wa Kubaiolojiana 1%

Marafiki zangu 1%

Maadui zangu popote 0.5%

Wachawi Wanaoniroga Usiku 0.5%

Happy Valentine's Day nyote hapa JF.
 
FB_IMG_16447379209990398.jpg
 
Mwenyezi Mungu 50%

Wazazi Wangu 40%

Walimu na Wahadhiri wangu 4%

Simba SC yangu 3%

Wapenzi wangu wa Kubaiolojiana 1%

Marafiki zangu 1%

Maadui zangu popote 0.5%

Wachawi Wanaoniroga Usiku 0.5%

Happy Valentine's Day nyote hapa JF.
Wee Mkurya gani unarogwa? Wakurya strong wana gecha hadi wachawi wanawaogopa
 
Duuh wengne wanaenjoy mda huo huo mtaa wa saba zinapigwa hii valentaini deyi shida tupu
 
Back
Top Bottom