Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Wafungie tu line za simu ili TRA mapato yashuke kisawasawa, mzunguko wa hela ndani ya nchi upungue kwa zaidi ya 50%, na thamani ya Tsh ishuke kisawasawa mpaka akili ziwakae sawa.

kufungia line za simu ni kufungia miamala ya pesa nchini, miamala ya hela kwa njia ya simu ni zaidi ya mzunguko wa 50% wa mizunguko yote ya hela nchini, kuliko hata miamala ya bank, na ndio maana bank zote zimeingia kwenye "MOBILE BANKING" kwasababu wanajua mzunguko wa hela umeshikiliwa na mobile banking sasa hivi.

That is to say "MZUNGUKO WA HELA UTAFIFIA NA KUYUMBISHA UCHUMI WA NCHI YETU", mzunguko wa Tsh ukipungua ina maana thamani ya hela ya Tsh itashuka.

Viongozi wetu wanatakiwa warudi darasani na wasome "PRINCIPLES ZA E-COMMERCE" (Biashara za kimtandao).

#Viongozi wetu wajitafakari kisawasawa fikra zao kwenye kufanya maamuzi ya kitaifa, wasifanye maamuzi kuangalia matakwa yao tu. Kwenye maswala ya kitaifa tuweke vyama pembeni.
They can't afford it.
 
Zoezi ni la muda mfupi, watu ni wengi halafu NIDA usajili kama kinyonga anatembea. Unapanga foleni asubuhi mpaka jioni na uhuduma haupati mpaka kesho utafikiri hauna kazi ya kufanya. Hilo zoezi lisingeweza kukamilika kwa muda walioweka. Wao wafunge
Waziri Nditiye Amesema hivyo baada ya kuona hali halisi huko Kigoma
 
Utawala huu wa Magufuli ni rahisi sana kutabiri kitu na kikatokea.
Nilitabiri Babu Seya atatoka ile December 9 2017 ikawa, nilitabiri 2019/2020 watumishi wa umma hawataongezewa hata senti ikawa. Leo narudia tena kutabiri utabiri huu mgumu kuwa line za simu zisizosajiliwa kwa namba ya NIDA kesho tarehe 20 kuelekea tar 21 hazitafungwa.
Kama unabisha tuwekeane dau
MLIPOAMBIWA MABADILIKO YA KWELI ANAYO JPM,PIA MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM HANA URAFIKI,MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM ATA- DEAL NA MAFISADI HADI KIELEWEKE MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM ATAIRUDISHA TANZANIA KWENYE RIGHT TRACK PIA MLIBISHA,

HAYA WEWE ENDELEA KUPIGA RAMLI

LAKINI NDIO MWISHO WA MATAPELI WA MITANDAO YA SIMU UMEWADIA USIKU WA LEO!

2020 - 2025,JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala huu wa Magufuli ni rahisi sana kutabiri kitu na kikatokea.
Nilitabiri Babu Seya atatoka ile December 9 2017 ikawa, nilitabiri 2019/2020 watumishi wa umma hawataongezewa hata senti ikawa. Leo narudia tena kutabiri utabiri huu mgumu kuwa line za simu zisizosajiliwa kwa namba ya NIDA kesho tarehe 20 kuelekea tar 21 hazitafungwa.
Kama unabisha tuwekeane dau


Hazitafungiwa ila kuna kigogo atang'olewa kutokana na kushindwa kutetea takwa la kiongozi
 
Naunga mkono hoja kabisa. Mijitu mibishi tu, hebu ona mifano hii mkuu,
MLIPOAMBIWA MABADILIKO YA KWELI ANAYO JPM,PIA MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM HANA URAFIKI,MLIBISHA. - Angalia ya Bashite

MLIPOAMBIWA JPM ATA- DEAL NA MAFISADI HADI KIELEWEKE MLIBISHA. Angalia Chenge na Lowasa

MLIPOAMBIWA JPM ATAIRUDISHA TANZANIA KWENYE RIGHT TRACK PIA MLIBISHA. Angalia alivyofanya zao la korosho

HAYA WEWE ENDELEA KUPIGA RAMLI
 
Kwa nini wasiwafungie NIDA kwa kushindwa kutekeleza wanatufungia sisi....???
Yaani wanafanya ishu inakuwa ngumu wakati ilikuwa rahisi sana....
1.USAJILI WA NIDA
2.USAJILI WA LINE
3.USAJILI ENDELEVU KWA WATEJA WAPYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafunga. 1.10 Wanafunga au Hawafungi (DC) 1.00
Hawafungi 3.80
Weka dau, lisizidi 10,000.
Note. Ukisema hawafungi na ikaonekana kweli hawajafunga, but ikatokea kuna hata mtu mmoja akafungiwa, utakuwa refunded 100% (na kinyume chake hivyo hivyo)
 
Back
Top Bottom