kosa gani ndugu katika sentensi yangu ndugu maana naona unakuja mbogo
Hapa nilipo taa ya mafuta kwenye gari inawaka tangu Jana, halafu mfukoni nna Kama 20 ivi. Kichwa kimeshaanza kuuma kwa mbaali, nachek balance kwa nmb mobile mpaka salio limekata, kudadadadeki
Hivi ni kitu gani kinasababisha mishahara ya watumishi wa umma inachelewa sana siku hizi!
Kwa mafano kuna wizarra hadi leo hazijalipa