Kuchechemea ukikanyaga haja

Haja kubwa siyo mwiba, lakini ukiikanyaga kwanini wachechemea?

Ili kinyesi kisisambae zaidi na kama ni mwiba/kipande cha chupa basi usiende/kisiende mbali zaidi ya hapo ulipofika/kilipofika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom