kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,716
- 999
Mkuu figganigga this is too much. Hawa watendaji wa Magufuli naona wanaacha kufanya kwa weledi na wanaanza kufanya kazi kwa kulipiza kisasi na kukomoana. Kama hilo jengo liko bondeni na jengo la CCM pembeni yake liko angani? Na nyumba zaa serikali ambazo ziko pembeni je? na ofisi za CEDHA nyuma yake je? Kama hizo zote hazijapigwa X basi na hili jengo lisipigwe X wala lisivunjwe.
Hope na Ofisi za TRA Arusha nazo ziko Bondeni zimewekewa X?