Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,367
- 222,529
- Thread starter
- #61
Kwi! Kwi! Kwi!Kwani wewe humvalii shanga mumeo mzee kagenzi?
Kwi! Kwi! Kwi!Kwani wewe humvalii shanga mumeo mzee kagenzi?
Ukiona hivyo, Bajeti hizi hazikuandaliwa na UKAWA kama mtu mmoja alivyojaribu kutuaminisha hivi karibuni. Alitamba sana Ukawa wameandaa bajeti ki historia, leo wanaikana wenyewe1. Jiji la Dar lina wilaya tatu na zingine mbili ziko mbioni kuanzishwa.
2. Kila wilaya hizo ina halimashauri yake ya manispa yenye madiwani na mameya wao. Kila manispaa nchini huandaa bajeti na kupitiwa mabaraza yao ya madiwani, na baada ya hapo huwasilishwa kwa waziri wa TAMISENI. Ofisi ya mayor ya jiji la Dar ni ceremonial hivyo haina mamlaka ya kuzibadili hizo bajeti. Anaweza tu akatoa ushauri kabla ya uandaaji wake. Madiwani wa halmashauri husika walishazipitia sasa Kubenea analalamika nini?
....idawa
Swali hilo na mie linaniumiza sana. Hivi ni dhambi gani kwa mtanzania mwenzako aliyepewa ruhusa ya kikatiba na watanzania wenzake kusimamia mali na maendeleo ya mahali flani, wewe uliyeshinda karibia asilimia 60 nchi nzima na halmashauri kibao uwe na wivu juu yake?
Najaribu kwa nguvu zote kumwamini Mh. Rais kama mtu anayependa HAKI na MTANZANIA zaidi kuliko UCcm wake lakini nashindwa!
Sijui kwanini hua sitilii maanani lolote analozungumza huyu bwana, kila nikikumbuka makala zake juu ya lowasa,
Hiyo imekuingia sawa sawa, asante...tangu lini mwenye elimu ya hapa na pale akawa na lolote la maana la kutuambia? tehe tehekunya Boga...
kumchukia Erythrocyte hakutakusaidia chochote mjomba , unachotakiwa kuangalia ni hoja iilyoletwa mezani .Huyu mleta anachonikera ni ushabiki wake anapoleta habari za Kubene...,, eti mbunge wa taifa my foot
Kama wewe ni mwanaume jitazame upya aisee
Hujui kitu mkuu .Ukiona hivyo, Bajeti hizi hazikuandaliwa na UKAWA kama mtu mmoja alivyojaribu kutuaminisha hivi karibuni. Alitamba sana Ukawa wameandaa bajeti ki historia, leo wanaikana wenyewe
Stroke wenzio wanaendelea kuteuliwa tu wewe umebaki hapa unapiga taralila shauri yako mbwa wewe!!Sijui kwanini hua sitilii maanani lolote analozungumza huyu bwana, kila nikikumbuka makala zake juu ya lowasa,
Huku Kinondoni mayor amegeuka kuwa mtendaji (mkurugenzi) wa manispaa.Hivi CCM kwa nini wasiwape UKAWA uhuru wa kuendesha halmashauri ili tujue uwezo wao.
Kwa nini wanawazonga zonga kila wanapotaka kuonyesha weledi.
CCM waelewe hawawakwamishi UKAWA ila wanatukwamisha wananchi tunaotaabika kila siku.
Waliapa kuwakwamisha UKAWA wasifanye kazi, hii ndio CCM
Kula sumu mkuu
MTU ambaye anamsikiliza na kumwamini huyo Kubonyea amuulize makala zake za 2008 alizotuthibitishia kwamba Lowasa alikuwa fisadi zimeishia wapi?Waliapa kuwakwamisha UKAWA wasifanye kazi, hii ndio CCM
Mbunge huyo makini ambaye Wengi wanapenda kumwita mbunge wa Taifa kutokana na uzalendo wake wa kulinda maslahi ya nchi , amesema ni lazima kwanza bajeti ijadiliwe na madiwani wa jiji kabla ya kupelekwa bungeni .
Haiwezekani bajeti iliyoandaliwa na watendaji wa jiji ipelekwe moja kwa moja Tamisemi badala ya kupitia kwanza kwenye baraza la madiwani ili ijadiliwe na mapungufu yarekebishwe .
Mh huyo kwa msisitizo amepanga kupeleka barua kwa spika kumjulisha juu ya jambo hilo .
My Take - ninaona harufu ya UKAWA kuhujumiwa kwa udi na uvumba katika mikakati yao ya kuboresha jiji .
Nimeteuliwa jimbo la JF, kilaza wahed...Stroke wenzio wanaendelea kuteuliwa tu wewe umebaki hapa unapiga taralila shauri yako mbwa wewe!!
Kwann UKAWA hawakuwapa wanachama haki ya kuchagua mgmbea uraisiHivi CCM kwa nini wasiwape UKAWA uhuru wa kuendesha halmashauri ili tujue uwezo wao.
Kwa nini wanawazonga zonga kila wanapotaka kuonyesha weledi.
CCM waelewe hawawakwamishi UKAWA ila wanatukwamisha wananchi tunaotaabika kila siku.
patachimbika .Watakalo litakuwa na huo nakwambia ni mwanzo tu.Wataipeleka kwa nguvu na mkiisusia wataijadili upande mmoja na kuifanyia marekebisho makubwa na kuutaka uongozi kuifuata.Mkurugenzi ni wao na ndie mtekelazaji kwa maagizo ya chama chao.Spika mnaetaka kumwendea ni wa kwao na sio ukawa mtapita wapi?Hizo sheria watekelezaji ni wao na wamejipanga kuwakwamisha na huko huko kuna makubwa wanataka yasahaulike kwa wananchi kwa kuwaacha wakihangaika na kituko cha bajeti ya halimashauri/jiji kukimbizwa bungeni hata kabla ya kufanyiwa marekebisho na wahusika.Kwani mmeshasahau mbinu za serikali wakitaka kufukia yao?Hii inaitwa kucheza na akili za watu kuwasahaulisha makubwa na kumenyana na vi issue visivyo maana.