Kubenea acharuka, apinga bajeti ya jiji la Dar kupelekwa bungeni

Naona maghufuli akitumia nguvu nyingi kuzuia wapinzani kuliko nguvu anayotumia kuubana upinzani, lakini aangalie 2020 siyo mbali
 
utaratibu ni kwamba , wataalamu wanapoandaa bajeti za halmashauri ni lazima wapeleke kwenye baraza la madiwani ijadiliwe then ndio iende TAMISEMI , sasa hawa watendaji wa CCM wanajaribu kuhujumu kishamba sana.
Tusaidie kuelewa kwa vipi CCM inahusika hapa wakati jiji linaongozwa na UKAWA!!
 
Sijui kwanini hua sitilii maanani lolote analozungumza huyu bwana, kila nikikumbuka makala zake juu ya lowasa,
Usipate shida tunaelewa ni kwa nini. Ni sawa mwanafunzi wa ngumbaru mbele ya mhadhiri wa chuo kikuu, hawezi kumwelewa
 
Kama huwezi kutilia maanani wazo la mtu na badala yake unaangalia wazo hilo limetolewa na nani basi hiyo ni hitilafu katika kufikiri.Kama iko hiyo natarajia basi ungekuwa umekoma kuwa mfuasi wa Hoja,mipango na mikakati yoyote ile toka Ccm.
 
Sijui kwanini hua sitilii maanani lolote analozungumza huyu bwana, kila nikikumbuka makala zake juu ya lowasa,
Wala sio wewe pekeyako mkuu tuko wengi mala nyingine hadi kusoma taalifa zake zinatia kichefuchefu
 
Kama ndio hivyo Hawa jamaa hawana nia njema na wana Dar na watanzania kwa ujumla mana, Wanacho kifanya syo tu kuwa wataikwamisha ukawa pekee yake
 
Balaza la Madiwani Jiji la Dsm hawaja wahi hata kufanya kikao kimoja cha baraza sasa kubenea alitaka wajadiliane Ufipa???
 
Mbunge huyo makini ambaye Wengi wanapenda kumwita mbunge wa Taifa kutokana na uzalendo wake wa kulinda masilahi ya nchi , amesema ni lazima kwanza bajeti ijadiliwe na madiwani wa jiji kabla ya kupelekwa bungeni .

Haiwezekani bajeti iliyoandaliwa na watendaji wa jiji ipelekwe moja kwa moja Tamisemi badala ya kupitia kwanza kwenye baraza la madiwani ili ijadiliwe na mapungufu yarekebishwe .

Mh huyo kwa msisitizo amepanga kupeleka barua kwa spika kumjulisha juu ya jambo hilo .

My Take - ninaona harufu ya UKAWA kuhujumiwa kwa udi na uvumba katika mikakati yao ya kuboresha jiji .
Kubenea ni Zero aka Sifuri..
 
Baada ya hapo wanapita mitaaani na kutamba kua tume waachia jiji ukawa tuone watafanya nini?.yaleyale aliyo sema prof jay kua wana tangaza amani huku wameficha mapanga mgongoni.:rolleyes:
 
Balaza la Madiwani Jiji la Dsm hawaja wahi hata kufanya kikao kimoja cha baraza sasa kubenea alitaka wajadiliane Ufipa???
walio chelewesha mchakato wa kumpata meya wa jiji ili vikao vya baraza vichelewe nani?,kama so haohao wanaojifanya wazalendo/akina sokine wa leo.shame on them.
 
Sijui kwanini hua sitilii maanani lolote analozungumza huyu bwana, kila nikikumbuka makala zake juu ya lowasa,
we una wivu wa kike au tusemeje ,we kaalaga bao mwenzio kaishatusua hujui siasa ni kucheza na maneno
 
Back
Top Bottom