Kubana matumizi Serikalini vs shilingi kutoimarika

kubana matumizi hakuhusian direct na kuimarisha shilingi, shilingi itaimarika significantly endapo tutafanya export nyingi na tujipunguza consumption ya imported goods
hiyo ya serikali kukadhibiti safari za nje inasaidia kupunguza demand ya dollar ila kwa kiasi kidogo sana kiasi kwamba huwezi ukaona impact

Mimi nadhani kuna uhusiano wa moja kwa moja na wa papo hapo kwasababu kubana matumizi ni pamoja na kubana matumizi ya shilingi kununua dola.

Kinachoendelea sasa ni recession, maana shilingi hazipo kwenye mzunguko na tungetegemea bei ya shilingi iongezeke dhidi ya dola (appreciation), ila sasa kinachotokea ni kwamba banks zina dola nyingi kuliko shilingi na wakati huo huo dola ina appreciate kinyume na kanuni za kiuchumi ambapo tungetegemea dollar iteremke. Ila upo uwezekano kwamba dollar inapanda thamani irrespective ya demand ya shilingi yetu. But either way things don't look good.
 
Wachumi Wazalendo njooni na model ya kutukwamua hapa tulipo.

Alafu hiyo model ikutane na viongozi wa utawala gani? Huu au mwingine? Maana kama huu ni kwamba siku hiyo model inawasilishwa basi modeler mzalendo atakuwa keko au ukonga au segerea au akiwa na bahati sana basi ataitwa mpiga dili.
 
Back
Top Bottom