House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

Mkuu, uza nyumba/kiwanja halafu njoo na pesa nikupe gari safi iliyo ndani ya vigezo vyako.

Haya mambo ya butter trade, mtu waweza badilishana na nyumba iliyowekwa kama dhamana ya mkopo wa bank.
 
Ni kweli auze tu spate
Mkuu, uza nyumba/kiwanja halafu njoo na pesa nikupe gari safi iliyo ndani ya vigezo vyako.

Haya mambo ya butter trade, mtu waweza badilishana na nyumba iliyowekwa kama dhamana ya mkopo ya bank.
12M apate gari anayohitaji
 
Ahaaa, kuna mtu atalia hapa. Kama sio mwenye gari basi mwenye nyumba! 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom