Kubadilisha wav files kwenda MP3

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Wataalam,

Naomba msaada nimejaribu kudownload muda mrefu nimekwama, naomba msaada wapi naweza kudownload software ya bure niweze kubadilisha nyimbo kwenye lap top ziwe kwa MP3 niingize kwenye simu yangu

Asante sana
 
Back
Top Bottom