dizbap
Senior Member
- Nov 25, 2009
- 156
- 86
- Thread starter
- #21
WAZO ZURI SANA,tuzingatie yafuatayo:
-utii wa sheria
-ukabila
-Rushwa
kwa kawaida watanzania tukienda nchi ya watu,huwa tunapeleka ugonjwa wa mdudu Rushwa, e.g Swaziland wameshaaambukizwa
mimi nimesikia kuna fursa katika secta ya usafiri biashara ni nzuri sana, kusaga na kupaki vyakula e.g Sembe,ngano.
kuna wahindi/warabu wameenda kufungua kiwanda cha plastics huko huko
Je ni mji gani biashara ipo nzuri zaidi?
Kwa Uzoefu wangu nilionao! kwa sasa Mji mzuri ni Maputo! ila kunauwezekano kabisa hata miji mingine kukawa kuna Biashara.