Kuanzia Leo Sitaki kusikia Habari za Wanaharakati

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Nimechoka na Mikwara Mbuzi ya wanaharakati,kuanzia leo sitaki kusikia wala kusikiliza habari za wanharakati wa Bongo kwakitendo chao cha kufyata mkiaa

Wamenimalizia Luku yangu ya bure kwa kuangalia tv.

Naomba kuwasilisha.
 
Hata mimi huyu Kibamba kanikera sana, jana tunaandamana leo amenywea.


Alipopewa reason kuwa ni alshabab kwanini asihoji je mechi zitakazochezwa hazina shida?

Nahisi kapozwa kidogo.
 
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu, kuanzia leo sitafuatilia midahalo yao kudadadeki, wamenikera sana hawa vichwa nazi, mi nilishaandika wosia kabisa wamenipotezea mood pambavu zao.
 
Huyu kibamba sitashangaa siku nikisikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM..... Heche ebu itisha maandamano ya ukweli wanaharakati tuingie barabarani.
 
Pumbaf sana hao jamaa nakumbuka walitangaza kwa mbwembwe sana hayo maandamano afu tena wamebadilika kama sio wao...kuanzia leo sitaki kusikia cha wanaharakati wala maandamano ya chadema....wanafiki wakubwa hawa
 
Jukwa la katiba si wanaharakati bali wanaharaka ya mambo! wamenikera kama CDM waoga ka kunguru, Wamejimaliza wenyewe natamani niwatukane anyway nisijefanananao
 
aaaaagh basi nyie mmechelewa sana kuwabaini akina kibamba, mie niliwa chukia sana siku ile waziri mkuu wa uingereza tulivyo mlaani kwa kutulazimisha kuingia katika kuwa tambua mashoga kwa kigezo cha misaada, punde kidogo prince Charles alikuja bongo naamini kupima joto la udhalimu wa siasa zao juu ya ushoga, cha ajabu hakujitokeza mwanaharakati ata yeyote kupinga japo kwa mabango au matawi juu ya shinikizo la serikali yake kuhusu ushoga, dah hatuna wana harakati hapa bongo hawa ni waganga njaa, na nasikia maandamano aloandaa juu ya katiba nimesikia yamepigwa marufuku na polisi tutausikia usanii wake apo kesho, log off
 
Maandamano lazima yaitishwe na cdm ndo yanakuwa ya
Kweli coz Viongozi hutangulia mbele wananchi nyuma

angekuwa ameitisha yule dada myemen aliyepata tuzo ya nobel ningeamini, maana yule ni full activist hapa bongo ni masharobaro tu.
 
Haya maswala ya katiba mpya sio ya kibamba au mama nkya bali ni yetu sote.kwa waliosoma kitabu cha zawadi ya ushindi nadhani mnamjua sikamona.yeye alitumia hotuba ya mwalimu Nyerere tu na ikampa hari ya kwenda vitani.mwalimu alisema''subirini muone vijana wetu watatufanyia nini''Sikamona akajiuliza''na mimi si ni kijana?''akaenda vitani.sasa
sisi watanzania na mimi nikiwemo sijui nani katuroga,tunasubiri kibamba atuamulie mambo ya mustakabari wetu na vizazi vijavyo.we should have internal conflicts haunting our hearts.Tumuombe sana mungo atutoe woga
 
Sasa subirini chadema waongee na JK ndo mtachoka kabisaaaa..chase ashasema nothing is better than money..acheni longolongo tafuta pesa hao kina slaa wanatafuta pesa si vinginevo.
 
Jaguar aliimba 'nimtazame nani, nimwamini nani? Wanasiasa vigeugeu...Wanaharakati vigeugeu, Kibamba kigeugeu'...yan kila mtu kigeugeu, siku nyingine wakiitisha hatutawaamini.
 
Huyu kibamba sitashangaa siku nikisikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM..... Heche ebu itisha maandamano ya ukweli wanaharakati tuingie barabarani.

bora huyu do0go heche aseme angalau tupate mwelekeo yaani hata kofia yangu ya ukindu nimeifuatabagamoyo kwa ajili ya maandamano halafu kibamba ananywea yaani
 
Sasa subirini chadema waongee na JK ndo mtachoka kabisaaaa..chase ashasema nothing is better than money..acheni longolongo tafuta pesa hao kina slaa wanatafuta pesa si vinginevo.
Bora umelitambua hili! Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom