Kuanzia Leo Sitaki kusikia Habari za Wanaharakati

Wanahrakati mchango wenu katika kutafuta mbadiliko nchini tunauthamini kweli kweli; cha msingi tekelezeni wajibu wenu kivitendo zaidi kuliko kinadharia na mtheshimika kwa hilo mbele ya jamii sawa sawa na Tanganyika Law Society ilivyokwishajizolea umaarufu kwetu wananchi, na watu binfsi kama vile Jenerali Ulimwengu, Prof Shivji, Mama Nkya, Kafulila, UDASA, Kamanda Lema, Regia, CHADEMA na ...
 
Wapigwe mabomu familia waachie nani? Ni ule usemi usemao yarabi nafsi yangu. Wakome kutuhamasisha na kisha kuingia mitini inakuwa kawa migomo ya waalimu. TUMECHOKA NA KAULI TATA
 
Huyu kibamba sitashangaa siku nikisikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM..... Heche ebu itisha maandamano ya ukweli wanaharakati tuingie barabarani.
Acheni kuwaonea wana harakati.mbona chadema waliwahi kuhairisha maandamano kwa kuogopa kichapo cha polisi.tatizo washabiki wengi wa chadema wa dar mambo yenu safi,either mna kazi nzuri au mna biashara zinazolipa ndiyo maana amuwezi kuandamana.mnaogopa kuharibikiwa mnabaki kutoa manneno kwenye mitandao.
 
Mkiandama ni faida ya watanzania, na mkisitisha ni faida ya watanzani cha muhimu wahusika ujumbe umewafikia watatue matatizo ye2 na wasikie vilio vya wengi..
 
Wanahrakati mchango wenu katika kutafuta mbadiliko nchini tunauthamini kweli kweli; cha msingi tekelezeni wajibu wenu kivitendo zaidi kuliko kinadharia na mtheshimika kwa hilo mbele ya jamii sawa sawa na Tanganyika Law Society ilivyokwishajizolea umaarufu kwetu wananchi, na watu binfsi kama vile Jenerali Ulimwengu, Prof Shivji, Mama Nkya, , UDASA, Kamanda Lema, Regia, CHADEMA na ...
Samahani mkuu. nime edit kidogo mchango wako kutoharibu radha.
 
Kama unaona hawafai, wapindue. Uongoze maandamano kama utaweza.

Unacheza na serikali wewe.
 
Nimechoka na Mikwara Mbuzi ya wanaharakati,kuanzia leo sitaki kusikia wala kusikiliza habari za wanharakati wa Bongo kwakitendo chao cha kufyata mkiaa

Wamenimalizia Luku yangu ya bure kwa kuangalia tv.

Naomba kuwasilisha.

Nchi si yetu wote itasha basi wewe maandamano kama una uchungu sana
 
Kama unaona hawafai, wapindue. Uongoze maandamano kama utaweza.

Unacheza na serikali wewe.

Ni kweli Mzee! Usicheze na serikali inayotawala kwa mtutu. kwake kuua raia ni kama kunywa maji.
 
Nchi si yetu wote itasha basi wewe maandamano kama una uchungu sana

YETU SOTE? kwa wale ambao hawajaelewa Ritz anamaanisha WAO WOTE (KAGODA, Meremeta, Deep green, Rada, Richmond DOWANS na hawa wadogowadogo akina Jairo)
 
Huyu kibamba sitashangaa siku nikisikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM..... Heche ebu itisha maandamano ya ukweli wanaharakati tuingie barabarani.
aitishe maandamano ya nini tena ili hali chama chako kinakwenda kuonana na Rais
 
Hata mimi huyu Kibamba kanikera sana, jana tunaandamana leo amenywea.


Alipopewa reason kuwa ni alshabab kwanini asihoji je mechi zitakazochezwa hazina shida?

Nahisi kapozwa kidogo.


tunawasubiri wapiganaji pekee wa nchi, the people's
 
Nchi si yetu wote itasha basi wewe maandamano kama una uchungu sana

Bwana mkubwa hayo ni mawazo yangu ninamaanisha kuwa Jukwaa la siasa waache kukurupuka kutoa matamko bila kupata baraka za vyombo vya Usalama

Si kwamba. Kuandamana ni dhambi ni haki kikatiba isipokuwa pata kwanza ridhaa ya vyombo vya usalama,tunachopinga ni kukurupuka kutoa tamko ambalo mwisho wake ni Aibu tupu
 
Hivi kweli watanzania bado tu mna zile ndoto za kukombolewa na kikundi cha watu wachache, hivi hamjifunza maandano yanayofanyika huko misri, syria, na yemen kwani mmesikia ni wanaharakati gani wanaongoza hayo maandamano zaidi ya wananchi. Halafu nyie leo mnatoa imani yenu yote kwa wanaharakati na vyama vya siasa kuwaletea ukombozi pasipo nyie kujitoa kushiriki kwa nguvu zenu
 
Nimechoka na Mikwara Mbuzi ya wanaharakati,kuanzia leo sitaki kusikia wala kusikiliza habari za wanharakati wa Bongo kwakitendo chao cha kufyata mkiaa

Wamenimalizia Luku yangu ya bure kwa kuangalia tv.

Naomba kuwasilisha.

they can not be alone they need your support. activists act like ignition in a car
 
Back
Top Bottom