Kuanzia leo mi na wewe basi.......

karibu mwaya ila mi mkali sana hadi najihurumia... Huo ndo udhaifu wangu mkubwa. Mengine i hope utaenjoy ingawa haipendezi kujifagilia!!
yaani miaka miwili anafaidi mwenyewe aondoke bwana atuachie hata wk arudi
 
Yaani mkuu ni bora kupotezea na kuhama kabisa mtaa au nyumba unayokaa kuliko kuface the reality na zile lawama
hasa kwa mtu ambaye ushamwambia kuwa u can be her husband

Ukifikiria time u spend together, time she lost for you, her expectation and lot of her plan over you unaamua kupotezea na kuhama kabisa

Mkuu Rocky wewe ni mzazi kama mimi na una mwenzako ila kama kiukweli mlishajaliwa watoto na kasoro zilizopo siyo za ki uzinzi kuachana na wife ni very difficult. Kuna huruma inaingia hasa ukikumbuka plan zenu mlizojiwekea huko nyuma pia ukiwaangalia watoto wasio na hatia na pia uki figure out hali itakavyokuwa bila kuwa na huyu wife ndani ya nyumba. Na zaidi sana ukigundua kuwa ladies wote wana common behaviour na ni ngumu kupata perfect replacement na hata ukipata kuna very long learning process ya kumfahamu donts na dos zake. Ukiweza kuwaza kwa namna hiyo basi unajikuta unabadili uamuzi na kusamehe.
 
Mkuu kwenye issue za ndoa huwa sishabikii kabisa kuachana na wala siwezi kumwambia mtu aachane na mwenzake ambaye wamespend a long time pamoja
Kuna mambo ambayo mkuu yanarekebishika na ambayo ni beyond repair na inapofikia hapo mkuu kunakuwa there is no way to turn the light on.
najua ni mateso kwa watoto na mipango ambayo kama familia mliiweka ila yote ndani ya nyumba yanaongeleka
kama couples ni vyema kukaa chini na kuongea na kujaribu kusuluhisha mambo yenu kabjjla hayajafikia kuachana
Swala linapozidi kuna sehem za kuhusisha kama wazazi wa pande zote mbili kabla ya kufikia uamuzi wa kusema sasa basi hapa enough is enough
 
yaani hapo patamu
Zile bata na starehe zote nacancel,
no hela ya salon
nyumba narudisha narudi kijijini,
na lile gari tunalotembelea nauza

Dah! kwa nini upate shida? yale maneno uliyomtongozea si uyageuze yawe vise versa? kwa mfano

1. wewe ndo barafu wa moyo wangu-wewe ni kaa la moto moyoni mwangu,
2. siwezi kuishi bila wewe-Ni bora nife kuliko kuendelea kuwa nawe,
3. Nipe nafasi ndani ya moyo wako-naomba usahau kama tuliwahi kuwa pamoja,
4.Nikikupata ntajiona mwenye bahati- umenisababishia mateso na mikosi mingi mara baada tu ya kukupata.

Halafu subiri majibu, lol
 
halafu mnasema mademu hatujatulia
ndo maana wajanja wanakaa kimachalemachale mguu mmoja kulia na mmoja kushoto ukitoswa huku unahamia huku.ili kupunguza maumivu akiba ni muhimu hadi kieleweke.
Dah wewe mtoto wewe hebu sema astaghafirullah.
 
heee kweli wanaume makatili.yaaani nyie mnamchoka mwanamke mara moja mana huwa hamzeeki haraka. Miii tangu niingie jukwaa hili nimejifunza sana.sasa nitakuwa mwanamke strong nikianza relationship nitajijenga uzuri kimaisha mwanaume akinigeukia sitokua na huzuni. na sitolichukua janadume afrika nikalileta ulaya nitakufa heart attack.kama maisha ya sasa ndo ivo?? YANAOGOPESHA
 
Back
Top Bottom