Kuanzia leo mi na wewe basi.......

Mkuu ni hard sana kwa mtu ambaye aliweka matumaini yote kwako na kutegemea mambo mazuri kutoka kwako anakuja kuishia kuambiwa kuwa mambo yameisha

Nakubali ndugu yangu lakini kama nimeshakutahadharisha several times halafu unakomaa provided hatuna ndoa nikigeuka nyuma ndo bye bye. Tatizo wengine tuna misimamo na hatugeuki nyuma hata kama nilikuwa nimependa namna gani ninapogundua kuwa unafanya kusudi jambo ambalo nimeshakutahadharisha.....
 
bebii anasema tuu hapa ila ukimkuta kwake anakuwa mnyenyekevu kinoma goti mpaka chini anapompa maji jamaa yake

Hii ni dizaini ya wale wanaharakati wa kibeijing wanaowapa kiburi wanwake wenzao wakti ama wao ndoa zilishawashinda au wanayofundisha sio wanayoyaishi makwao!
 
Nakubali ndugu yangu lakini kama nimeshakutahadharisha several times halafu unakomaa provided hatuna ndoa nikigeuka nyuma ndo bye bye. Tatizo wengine tuna misimamo na hatugeuki nyuma hata kama nilikuwa nimependa namna gani ninapogundua kuwa unafanya kusudi jambo ambalo nimeshakutahadharisha.....

Hawa viumbe ni wagumu sana kuelewa
Mwingine unawezaj ikuta umeamua kumwambia uwazi wako na ukweli wako ila anaamua kukufanyizia na kukuambia utayaona maisha machunggu kw akuniacha wakati kupendana na kuachana ni hiari ya mtu
 
Hii ni dizaini ya wale wanaharakati wa kibeijing wanaowapa kiburi wanwake wenzao wakti ama wao ndoa zilishawashinda au wanayofundisha sio wanayoyaishi makwao!

Nakubaliana na wewe mkuu
hawa ni wale wanaowapoteza wenzao na kuwahadaa wadai haki kumbe kwao nyumbani wanapalilia ndoa zao
 
It is a very long story my friend nisingependa kuyaanika humu but angekuwa na uwezo wa kunishut nadhani angeshafanya hivyo kwani it is more than 2 years but hataki kuelewa kitu na mimi sitaki kuelewa kitu and for sure i will neve ever......mengine tuyaache!![/QUOTE

Pole Mkuu Mkirua, kwenye uzi huu kuna mahali nimesema wanawake huwa hawakubali kuachwa,mkiachana yeye atafuatilia maisha yako tu ajue uko na nani na mnaendelea vipi. Na usipoangalia kwenye mahusiano yako atatia fitna mradi tu uharibikiwe,mi nawashangaaga sana yaani,we mtu tumeachana si basi,get on with your life,lakini wapi wao wamo tu!
 
Ndo maana nimesema hawa watu akiamua kukufanyia kisasi hataacha ni lazima afanye kila linaliowezekana kukuharibia
 
Nakubali ndugu yangu lakini kama nimeshakutahadharisha several times halafu unakomaa provided hatuna ndoa nikigeuka nyuma ndo bye bye. Tatizo wengine tuna misimamo na hatugeuki nyuma hata kama nilikuwa nimependa namna gani ninapogundua kuwa unafanya kusudi jambo ambalo nimeshakutahadharisha.....
ndo walivyo hao,alikuwa ana test zali ikamtokea puani!
 
Hii ni dizaini ya wale wanaharakati wa kibeijing wanaowapa kiburi wanwake wenzao wakti ama wao ndoa zilishawashinda au wanayofundisha sio wanayoyaishi makwao!
ni sawa na wanaume ambao akiwa bar kazi kusimama juu ya kaunta na kutamba anavyomshikisha adabu mkewe,kumbe kila siku yeye ndo anakula mikwaju na anaficha majirani wasijue.
 
nakubali ndugu yangu lakini kama nimeshakutahadharisha several times halafu unakomaa provided hatuna ndoa nikigeuka nyuma ndo bye bye. Tatizo wengine tuna misimamo na hatugeuki nyuma hata kama nilikuwa nimependa namna gani ninapogundua kuwa unafanya kusudi jambo ambalo nimeshakutahadharisha.....
eeeh kwaiyo sasa nafasi ipo open tuhamie au?
 
kabisa bwana dah abarikiwe uyo dada wengine tuponee hapo bwana

Karibu mwaya ila mi mkali sana hadi najihurumia... huo ndo udhaifu wangu mkubwa. mengine i hope utaenjoy ingawa haipendezi kujifagilia!!
 
Back
Top Bottom