Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

Generetaion Z

JF-Expert Member
Oct 2, 2022
343
840
Wakuu,

Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya.

Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu wangu, nikaamua nikaushe.

Sina hili wala lile naona ujumbe mfululizo, ohh nimekukumbuka, ohh nije, ohh nina minyeg*, nikarejea nyuzi za huku kwamba ukiona mwanamke anakushawishi ukamle jua kuna uwalakini.

Nikasema sawa basi tutapanga, mimi huwa kabla sijala mzigo lazima nihoji mzunguko wake wa hedhi ndiyo nitie mguu. Sasa nikamuhoji ulipata siku lini na unatarajia kuona tena siku zako lini? Alivyonitajia na nilivyopiga mahesabu nkaona hesabu hazisomi.

Nikambana anipe maelezo zaidi, naona maelezo yake hayasomi, nikaona sawa si mbaya, alivyofika magetoni kabla ya yote nikaandaa kipimo nasubiri, alivyofika tu nikamtolea kama 'suprise', embu tufanye uchunguzi. Kweli kipimo kikasoma mimba ipo, kikamshuka puh!

Nikamuuliza tena ndiyo akanambia alifanya mapenzi, nikapiga mahesabu iliangukia siku zake za hatari, na hakuona siku zake za hedhi, na alikuwa anaumwa kichwa na chuchu kuwasha nikajihakikishia alinasa kwa kukadiria mimba ilikuwa na wiki na siku.

Sasa ningekula kipofu mzigo ungekuwa unaniangukia mimi kizembe, sasa ilikuwa na maana gani kupata C ya biolojia kama ningebambikiwa mimba kizembe hivi? Nikala mzigo halafu akapita vile. Sasa sijui anaenda kuitoa maana anasema hajapanga.

Kuanzia sasa nitakuwa nafanya ukaguzi kwanza na kujua mzunguko wake, kipimo huwa hakisomi mimba ikiwa na siku kadhaa ila wiki kinasoma.
 
Kwenye ujauzito umeongelea, vipi kwenye UKIMWI - waweza kuona UKIMWI wa siku mbili au wiki moja?
 
yaani unazini bila kinga....hujui kuwa kuna magonjwa ya hata kama kaswenda ambayo inaweza hata ikakutia ugumba?
 
Back
Top Bottom