KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,115
- 1,801
Utakuwa umemhamisha kwa nguvu.Wanauhakika gani wa kugonganisha namba mpya toka mtandao mwingine na namba iliyokuwepo katika mtandao anaotaka kujiunga mteja?
Mfano namba yangu ni ya mtandao wa Tigo mfano 0713ABCDEFG halafu nataka kuhamia Airtel lakini kuho kuna mtu ana namba 0787 ABCDEFG, nini hatma ya yule mwenye namba ya Airtel ambayo inafanana na yangu.