Kuanguka kwa Dr Slaa

Kuna maeneo ukichangia unaonekana kichaa maana ni kichaa kaandika.
Ni sawa na kuona mtu katumia mavi kukuandikia tusi ukutani na wewe ukatumia mavi kumjibu tusi. keep ignored Kingxvi
 
Jamani niliweka Thread yangu humu ya kutoa angalizo kwa hawa watu kuwa ni wakuangalia wengi waliipuzia, utagundua thread nyingi za kipuuzi humu ni hawa new members wa kutumwa humu ! hivi hawa kizazi chao kijacho nacho nadhani kitaendelea kuwa watumwa, kama wazazi watarajiwa wenyewe ndo hao ni taabu tupu
teh teh hali tete? Zamani mlikuwa mnakutana wote mnauwezo mdogo wa kufikiri mawazo yenu yalikuwa sawa. Akiandika thread mtu wote mnaunga mkono.
 
You guys are silly!! CHADEMA haiwezi kufanana na CCMambayo Kikwete ni maarufu kuliko chama. Kwetu CHADEMA hakuna aliye maarufu kushinda chama. Kila mtu atakuja na kuondoka lakini chadema kitabaki kuwa maarufu na fukuto lake bungeni litatikisa daima. Kwa hiyo kujadili anguko la individual person ndani ya chama haina mshiko.
 
hao unaowalea wote ni wanadhiki naona mzigo wa kulea unakulemea ndo mana unahisi cdm wakichukua nchi padri labda atakusaidia kulea baadhi

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, hapa pesa ipo mingi, hapana jiuliza leo nile nini, hapa jiuliza pia maisha magumu, ni mtu iliyotulia, ila inahitaji kulea watu kama nyinyi mnao kimbilia kwa Nape awanyweshe awalishe
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.

kwa iyo thread yako ndo yenye mvuto?kwani vyuoni anakutana na nani?ivi hujui huko huko vyuoni ndo kwenye wabunge kama10 wapya 2015? Ivi haujui 2010 kuwa udsm imemtoa kijana kawa mbunge? Au haujui kuwa mwanafunzi wa sheria SAUT ni mbunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania? Ivi Dr Slaa anawapa maumivu ya kichwa kiasi kwamba kuanzia mjumbe wa mtaa mpaka rais wakilala wanaona kivuli cha dr Slaa kinawakimbiza? Ndugu haujui kuwa uchaguz umeisha ivo haijajulikana ktk kupima nguvu ya dr? Dr Slaa anawaumiza akili sana nyie.
 
Upeo mdogo hata mtoto wa chekechea anakuzidi, pesa za wanachi ? wakati ile inaitwa Ruzuku ya chama, we ndo bure kabisa, inabidi itumiwe kwa shughuli za chama

Nimesoma post zote za thread hii sikupenda kuchangia ila nilipofika hapa nikashindwa kujizuia!! Hivi wewe na huyo jamaa nani ana upeo mdogo? Ruzuku za chama ni pesa za nani? Hujui kama ni za walipa kodi ambao ni wananchi? Tafakari na uamue nani ana upeo mdogo. Matusi bila hoja ni uchafu.
 
Upeo mdogo hata mtoto wa chekechea anakuzidi, pesa za wanachi ? wakati ile inaitwa Ruzuku ya chama, we ndo bure kabisa, inabidi itumiwe kwa shughuli za chama
Unajua hizo pesa za Ruzuku zinapotoka? Au unaropoka tu
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
pointless,magamba time is almost over with this kind of life in darkness hata tusio na chama tutachagua yeyote anayefaa hata kama sio slaa lakini ccm rip 2015
 
Nimesoma post zote za thread hii sikupenda kuchangia ila nilipofika hapa nikashindwa kujizuia!! Hivi wewe na huyo jamaa nani ana upeo mdogo? Ruzuku za chama ni pesa za nani? Hujui kama ni za walipa kodi ambao ni wananchi? Tafakari na uamue nani ana upeo mdogo. Matusi bila hoja ni uchafu.
Kimbunga,Nashukuru kwa Cognition zako! Umemsaidia huyu CDM-Kata Ruzuku ni nini
 
Hapo sasa na wewe ukutulia kuisoma hiyo, pesa zimetoka kwa wananchi ndiyo hakuna asiyejua ni za walipa kodi, serikali imekusanya imegawanya ruzuku kwa vyama wazitumie kwa ajili za kuimarisha chama , hizo ni fedha za chama kwa matumizi ya chama , anaposema zinatumiwa vibaya kivipi ? sija kurupuka mkuu. hivi wewe unafikiri ametumia akili hapo . fedha inafanya shughuli ya kuimarisha chama anasema inachezewa ! narudia tena huyo ni bure kabisa bora mtoto wa "chekechea"
 
Kimbunga,Nashukuru kwa Cognition zako! Umemsaidia huyu CDM-Kata Ruzuku ni nini

Hiyo shukurani ya kujifariji uwezi ukasema pesa inachezewa, kama CCM ndo chama kinachoongoza kwa kupata ruzuku kubwa hatuoni hiyo ruzuku wanaitumieje, CDM tumeona ruzuku inafanya kazi ya mikutano ambayo ni mwiba kwenu kwa sababu mnataka wananchi waendelee kuwa vipofu pasipo kuhabarishwa , kati yao nani anatumia vibaya ruzuku hiyo ?
 
hilo nilisha kujibu, ndo maana mnafeli mitihani kwa kutoa jua ? nimekwambia ni hela ya wananchi walipa kodi, serikali inakusanya baada ya hapo inagawanywa kwa kwa kila chama , hapo ni hela ya chama na matumizi itatumika kwa matumizi ya chama , tumetofautiana uliposema wanachezea pesa za wananchi, hivi kutekeleza mipango ya chama ni kuchezea pesa ?
 
Hapo sasa na wewe ukutulia kuisoma hiyo, pesa zimetoka kwa wananchi ndiyo hakuna asiyejua ni za walipa kodi, serikali imekusanya imegawanya ruzuku kwa vyama wazitumie kwa ajili za kuimarisha chama , hizo ni fedha za chama kwa matumizi ya chama , anaposema zinatumiwa vibaya kivipi ? sija kurupuka mkuu. hivi wewe unafikiri ametumia akili hapo . fedha inafanya shughuli ya kuimarisha chama anasema inachezewa ! narudia tena huyo ni bure kabisa bora mtoto wa "chekechea"

Mkuu mimi nilibase kwenye post yako. Mambo ya kutumiwa vibaya ama vizuri kuna watchdog institutions za serikali kama NAO zitakazotuambia. Chama kimepewa pesa na walipa kodi kupitia serikali. Na hizi zimeishapigiwa kelele humu kwamba ni pesa haramu hazina tofauti na sitting allowance inabidi vyama vijiendeshe kwa michango ya wanachama.
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
hizi dhiki zimesababishwa na mizigo ya ccm. wewe ni miongoni mafisadi ambao hawajui dhiki hizi zinasababishwa na nani. kifikra hujakomboka
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
A lose dr. Slaa?is this correct english?porojo na wewe havitofautiani.
 
Mmeenda kulala ? msirudie kuturundikia mapumba yenu humu ? dhiki zenu ziwekeni kando uzalendo Kwanza, unajua hoja unayotoa it can tell Who You are, kama ni kilaza au mtumwa utaonekana tu, kama waasisi wenyewe wa hilo lichama wanaliona halifai tena ni jahazi linalovuja, sasa nini kinachowafanya nyinyi mendelee kuleta humu ujinga huo, I am very rational wala msifikiri mimi ni mwanasiasa mjinga, ni leo tu nimeweka post humu baada ya kuhudhuria mjadala uliokuwa ukiendeshwa na Mh. Sitta na Nyalando Mzumbe, kwa hiyo mimi si shabiki wa kijinga, penye kusifia ntasifia haijalishi huyo mtu anatoka chama gani.Ila kutumwa tumwa humu muache kabisa ukija humu njoo na jambo la kujenga taifa na si umbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom