kuangalia chanel mbalimbali kwenye Digital tv.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wadau naomba kujua kama ninaweza kuangalia station mbalimbali kupitia tv yangu ya digital bila kutumia king'amuzi chochote.kama kuna uwezekano tujuzane.
 
Kama ni hiyo digital from Star Times then ni antena tu unahitaji. na utaona za star times tu. Ila pia channel zisizo Star Times nazo unapata kama kawaida, kwa kuwa TV ni both analog and digital receiver. Sijui kama nimekujibu, ila ukijieleza zaidi wadau watakupa solution murua.
 
Jamani Tv yangu siyo ya Star times bali ni both digital na analog,sasa ninavyoelewa kunachanel za digital ambazo unaweza ukazipata kwenye digital Tv.kwa yeyote mwenye kujua zaidi atujuze na wala haihitaji king'amuzi.
 
Mimi kwa mawazo yangu kama kuna masafa ya digtal ambayo ni FTA ukitumia antena unapata.
 
Hyo tv yako haina sehem ya kuchomeka SMART CARD kwa ajili ya digital channels? maana mim ninavojua nikwamba kwa tv kama yako inakua ni universal digital tv!, hvo kama unataka kushika digital channels za kampun yoyote ya digital mfano ZUKU, STARTIMES,DSTV, etc, unatatikiwa uende ukanunue chip zao, then hyo chip utakuja kuiweka kwenye sehem ya kuwekea hyo chip iliyo kwenye tv yako, then turn your tv into digital mode!, kama haita search available channels automatically, basi force it to search manual! ila hakikisha una antena kwa ajili ya signal strength!
 
Umejibu vizuri sanaaaaaa
Nagonga senkyuuuuuu

Back
Top Bottom