Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

BILAKUFULI.jpg

wapendwa,

au mie ndiye sijaona vizuri!!

mbona kama kitumbua kimeishaonekana kabisaa? sasa ndo kuvaa gani huko?

jamani, jamaini jamni, mambo gani tena haya?

aaagh,

i am tired! nakaribia hata kutamka tusi! ee mwenyezi Mungu, nisaidie!
 
Haya tunayoyashuhudia wala tusishangae nayo, kwani kuna kauri mbiu inasema: Biashara ni Matangazo, na Matangazo ni Biashara'; hivyo wasichana wetu wanajificha nyuma la pazia la kwenda na fashion lakini kumbe ni kutangaza bidhaa iliyoko sokoni bila kupiga kelele kama tulivyozoea kusikia 'mchicha, mchicha, wa leo leo, toka bonde la kinyerezi etc'

Kidosho2.jpg
 

Attachments

  • Leggy.jpeg
    Leggy.jpeg
    42.7 KB · Views: 4,808
Mkuu uliyeweka picha ulikuwa unawaza nini au ndo unatuonyesha kiujazacho Moyo? tumekupata mkuu ila mabinti hawa zaidi ya kujidhalilisha sijaona cha ziada kwani mambo ya kawaida tu.
 
Kama wanayo kwanini wasiyaache? waache warembo wajiachie mimi ndo napenda hivyo sio mtu anavaa kanga 200 ka anaficha nini sijui..
 
Allien kumbe umerudi! Nimefurahi sana kukusoma. Yaani wewe ni mwendo wa picha tu.
 
Last edited by a moderator:
Hawa siwashangai, wameshakata tamaa ya maisha kwa hiyo silaha yao pekee ni kuonesha hayo maumbile kama wanayama mwitu. Anayenishangaza ni mwanaume anayethubutu kuambatana nao
 
mama yangu wee..sikuwahi mchagua mchumba wangu kwa kuangalia mapaja yake..ever since i met her..only wears decently..magauni mazuri ya vitenge na anavutia sana..
 
Hayo mapaja ,halafu umwambie kitu Hashimu LUNDENGA WA miss Tanzania ,hamtaelewana. Umiss Tanzania na Bongo Movie ni kiwanda kikubwa cha ufuska Nchini.
 
Back
Top Bottom