Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

HMK_0329.JPG
 
Wazee, hoa wamevaa fresh mbona, mkitaka kuona maajabu mkuje fasi ya Mocambique-maputo mtaona uhuru wa mwafrika kamili, kila kitu nje nje,
 
mpendwa Allen,

sasa huyu ndio kavaa nini? yaani mpaka nguo ya ndani inaonekana! au macho yangu tu??

kwa kweli fashion zingine, bora tu niendelee kuwa "msahamba"

mbarikiwe wapendwa

Glory to God!

Bwana asifiwe Mtu wa Mungu Ms Judith?

Unaendeleaje na ndoa yako? Shemeji niaje?

Hata sijui dada zetu mnatupeleka wapi na hizi fashion. Wengine wanadai eti mbona zamani bibi zetu walikuwa nusu uchi zaidi na matiti nje. eti?
 
Kweli nimeamini wakubwa wanafaidi................siangalii tena mizuka mizuka tu...
 
Back
Top Bottom