20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 7,991
- 6,801
Hivi Huawei huwa hazinaga update???sammobile ni website ya kudownloadia rom na odin ni software ya kueka rom kwenye pc, ila kama huvielewi elewi ni bora uache utafute anaejua akufanyie
Kuna simu y541 naweza ifanyia manuva yeyote bila kuchange imei ifike versn 5???