Ku-update android software (msaada)

sammobile ni website ya kudownloadia rom na odin ni software ya kueka rom kwenye pc, ila kama huvielewi elewi ni bora uache utafute anaejua akufanyie
Hivi Huawei huwa hazinaga update???

Kuna simu y541 naweza ifanyia manuva yeyote bila kuchange imei ifike versn 5???
 
zipo huawei zinazopata updates ila ya kwako sidhani kama inapata, njia ya kuangalia update ni ile ile kwa simu zote za android. unaenda setting halafu about halafu software update
 
tumia kies na pc kuangalizia update kama njia ya kawaida imekataa
Kaka Ahsante,nimechek kwa kies imedownload ila haikibali kuinstall yaan ikisema iko kwenye intallation inakaa tu percentage hazipandi,nimejaribu kuchek internet ni download file naona update ya android 5 bado kwa Africa ,ni ya nchi kama tano tu ndio imetoka ,ingekua lumia phone najua ujanja wa kubadili region sasa vipi hizi android nazo zinahilo !? Nifanyaje kaka niende android 5 hii ya 4.4.4 inastack nikiweka application nyingi kaka,.Ahsante
 
nenda setting halafu about angalia version yako ya grand prime ni ipi zipo version nyingi tu kama G530F, G530FZ, G530Y, G530H, G530FZ nk download rom kutokana na hizo version hata kama rom ni ya vietnam au brazil usijali hakikisha tu ni aina sawa na simu yako itakubali
 
Okau yangu ni g530h ,ahsante sana kaka
 
nenda setting halafu about angalia version yako ya grand prime ni ipi zipo version nyingi tu kama G530F, G530FZ, G530Y, G530H, G530FZ nk download rom kutokana na hizo version hata kama rom ni ya vietnam au brazil usijali hakikisha tu ni aina sawa na simu yako itakubali
df517388440b1dba21cfd426ca41b61c.jpg

Nimefanikiwa ,ahsante saaana kaka ,Mwenyezi akubariki saaana
 
jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash

pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
Mkuu nami nahitaji msaada wa ku update huawei yangu ya mediapad10link imeishia mwisho android 4.1 so kama samsung wanatumia odin unaweza nisaidia huawei natumia software gani kui flash ili niipeleka android 5 au hata six maan google naon steps but zinakuwa hazinisaidii na nyingi ni waongo na tutorial za youtube nazo hamna kitu.so ahsanteh mkuu kama ntapata msaada wako wa hali na mali uelewa wa computer ninai japo sio mkuu ila ukinielekeza naweza fanya mwenyewe.
 
nimecheki mwisho ni 4.1 huna ujanja.
 
hio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
Ku update phantom min z 4.4.2 PHM-Z-mini. Msaada jmn
 
NAOMBA MSAADA KWA ANAEJUA VIZURI MASWALA YA KU ROOT SIMU COZ NINA SIMU YANGU HAPA NOKIA XL DUAL SIM RM-1030 NIKIFATILIA NAAMBIWA NAWEZA KUINSTALL GOOGLE PLAY COZ NI SIMU AMBAYO NI MICROSOFT PIA INAANDROID SASA NIMEJARIBU KU INSTALL KWA KUTUMIA COMPUTA SIMU IMESHINDWA KUSOMA KATIKA PROGRAM YA NOKIA X MANAGER MPAKA LEO NIKAJARIBU KWA KUROOT BILA PC YAAN KWA KUTUMIA FRAMAROOT APP KWA KUINGIZA SUPER SU USER KWA GRANDAF BADO INAFAIL SASA NIPO NJIA PANDA NAOMBA MSAADA
 
Back
Top Bottom