Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

images


Ngoromiko, umechanganyikiwa...shuhudia mazishi ya Balozi Edward Mhina aliyefariki mwaka 2008. Nyadhifa alizowahi kushika;

  1. Balozi wetu nchini Sweden kwa kipindi cha miaka 10.
  2. Mkurugenzi wa Tume ya Elimu.
  3. Mwenyekiti kwenye Bodi ya SIDO

Kumbe mnalipiza kisasi kama CCM wamekosea na Chadema nao mnakosea kisa CCM wamekosea.
 
Utaifa ungekamilika kama hilo jeneza lingekuwa limepambwa na Bendera ya Taifa.


Sio lazima wataifa hao hapo wanalibeba kaburi; wanatoa hotuba Yeye ndie aliyeanzisha CHADEMA; kwanini aseinde na NEMBO yake CHADEMA ?

Na Unajuaje alipenda Hivyo? kuna Sababu ya kulazimishia Bendera ya Taifa?
 
Kumbe ni kweli mtu ukiwa mwanachama,mpenzi na mshabiki wa CCM uwezo wa kufikiri unaondoka na kuwa taahira. Kwa nini mnalalamikia mambo yasiyokuwa na mashiko kama machangudoa vile? Yaani mnakera na kutia kinyaa hapa jamvini.

Tumia lugha ya kistaarabu. Acha kutia najisi kwenye jamvi. Watu kama ninyi ndo mnafanya JF ionekane kichaka cha wahuni.
 
Kuna mdau mwingine analalamika kuwa CHADEMA walimtelekeza Bob Makani, sasa hapa anakuja mtu anasema CHADEMA hawajazingatia utaifa! Damn if you do, damn if you dont!
Yaani FJM sasa hivi zinatafutwa kila aina ya sababu hadi mi ninachoka..............halafu hata hawaeleweki full drama
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
images


Ngoromiko, umechanganyikiwa...shuhudia mazishi ya Balozi Edward Athumani Mhina aliyefariki mwaka 2008. Nyadhifa alizowahi kushika;

  1. Balozi wetu nchini Sweden kwa kipindi cha miaka 10.
  2. Mkurugenzi wa Tume ya Elimu.
  3. Mwenyekiti kwenye Bodi ya SIDO

Kwani hizo sio rangi za Taifa?
 
Yani wewe hujaridhika kwa heshima hii, mbona CDM ina heshima ya kitaifa?. Kama msiba ungekuwa ni wa kiserikali, watu wa protokali wangefanikisha hilo. Nafikiri umejiamulia kulalamika na kupotosha watu wasioelewa.

Ahsante mkuu kwa jibu murua kabisa.

Huyu ngoromiko nadhani anatumika au agenda yake binafsi. Kuna post yake hapa ya mchana anayotaka kutuaminisha kuwa Mbowe na Slaa wana mgogoro.

Anashindwa kuelewa maana ya vikao nini? Lengo la vikao ni kujadili mambo ili kuyaweka kwenye mstari. Katika mjadala wowote ule lazima kila mtu atoe mawazo yake ambayo yanaweza shabihiana au tofautiana na wengine.
 
Mambo ya damn damn ni nje ya mada.
Wewe unaona ni sahihi kushusha heshma ya Bob iwe ya kichama badala ya kitaifa?
Viongozi wengi wa kitaifa walifika kumuaga, CDM wanang'ang'ana na kila kitu mpaka wanalazimisha bendera la chama ndo litumike badala ya ile ya taifa.......*^&*... Hivi akina Prof Baregu na yule Dr wa kuteua wabunge wa viti maalum walikuwa wapi?

Low thinking, msiba wa kanumba ulihudhuriwa na viongozi wengi akiwemo JM Kikwete, mbona hukuja na urgument hii hii kwamba bendera ya taifa itumike kupamba jeneza???

Imekuuma kuona CDM wanamuenzi katibu na mwenyekiti wao mstaafu eeh???

Hivi bila kupost negative issuest against CDM cku yako haiendi vizuri???
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

wanafamilia walikubali?? kama jibu ni ndio basi hakuna issue
 
Kumbe mnalipiza kisasi kama CCM wamekosea na Chadema nao mnakosea kisa CCM wamekosea.

Huku sio kukosea ndivyo mnavofanya kila leo. Ila watu wengine wakifanya mnaona wanakosea sio eeh???

Wivu tu wa kike na kuishiwa sera ndio inawasumbua nyie magamba.
 
Back
Top Bottom