Ktk Kumuaga Bob: CHADEMA hawakuzingatia Utaifa

Siku mtikila akifa utaona bendera tutakayomuwekea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.
Ngoromiko, kama hujui jambo uwe unauliza kwanza kuliko kukurupuka na kujidharirisha!
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

Duh haya Bwana nimekusikia.
 
lia tuone hayo masikitiko ya kinafiki.muone kwanza.
 
Ahsante mkuu kwa jibu murua kabisa.

Huyu ngoromiko nadhani anatumika au agenda yake binafsi. Kuna post yake hapa ya mchana anayotaka kutuaminisha kuwa Mbowe na Slaa wana mgogoro.

Anashindwa kuelewa maana ya vikao nini? Lengo la vikao ni kujadili mambo ili kuyaweka kwenye mstari. Katika mjadala wowote ule lazima kila mtu atoe mawazo yake ambayo yanaweza shabihiana au tofautiana na wengine.
NGOROMIKO kwa kichaga ni shwetani,asikupe taabu huyu jamaa.anachuki binafisi na mbowe
 
Kwani hizo sio rangi za Taifa?

Hata rangi za bendera ya CDM ni rangi ya taifa coz ni chama mojawapo kati ya vilivyopo hapa nchini na kikubwa zaidi ni chama kinachokuja kuiongoza hii nchi baada ya miaka mitatu ijayo.
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

Wabongo ni wanafiki kuliko . CHADEMA wasinge shiriki wange sema oohhh CHADEMA wame mtelekeza mwasisi wao . Kwasasa mnalalmika utaifa , Unajua umuhimu wa Bob kwenye chadema.

wabongo hatuna jema kazi nikulalamika tukila kukicha na ndio maana hatuendelei .
 
Serikali ilimtelekeza pamoja na kushika deputy governor,kwny msiba kiherehere

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.[/QUOTE]
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

alikuwa muasisi wa cdm na hadi mauti unamfika alikuwa mzee mpiganaji wa chama sasa kwanini asizikwe kichama kwa kuwa cdm 2015 ndicho chama tawala?
 
View attachment 56131

Kwa majonzi makubwa tumemwaga kitaifa mpendwa wetu Bob Makani (rip). Ameagwa kitaifa kwa sababu amelitumikia taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu.

Nimesikitishwa sana kwa kitendo cha CHADEMA kutanguliza mbele maslahi ya kichama badala ya maslahi mapana ya kitaifa pale walipopamba jeneza la mpendwa wetu na bendera ya chama badala ya Bendera ya Taifa.

Kwa kitendo hicho, wamejenga taswira kuwa Bob ameagwa kichama zaidi na si kitaifa. Mmetuangusha Watz.

Unaelewa matumizi ya bendera ya taifa au unaropoka tu, si kila kitu lazima ukisemee,kaa kimya kama huna la maana
 
Hata rangi za bendera ya CDM ni rangi ya taifa coz ni chama mojawapo kati ya vilivyopo hapa nchini na kikubwa zaidi ni chama kinachokuja kuiongoza hii nchi baada ya miaka mitatu ijayo.

Umemrithi Yahya Hussein?
 
Back
Top Bottom