Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake

Sio field zote, ni ktk provision ya design of external features of the building tu. Architect hahusiki kwenye fields za geotechnic & water systems ambazo Civil engineer anahusika nazo. Hata ivo architects sio wengi kiviile ukizingatia viko vyuo vi3 tu vitoavyo kozi iyo,so fanya upembuzi yakinifu.
 
habar jaman,mi ni muhtmu wa kidato cha 6 2014,bado naendelea kutafuta ushaur wa ktu cha kusoma chuo kikuu,sasa nina koz mbili ambazo kwa upande wangu nashindwa kuzpima uzito kat ya archtecture na civil naomba msaada wenu bla kujal unasoma kozi gan il nifanye maamuz sahihi

Civil iko poa sana kama walivyoeleza wachangiaji pale juu.DIT wanagonga civil&building engineering.
 
dogo chukua architecture hutajutia achana civil japo nayo iko vizuri lakn architect ndio analipwa vizuri compared to civil(structural Engeneer) analipwa 6% whle Qs and structural Engeneer 3% ya cost zote za ujenzi cz yeye ndio chairperson wa construction consultant team

uzuri wa civil upo kwenye sehemu moja kwamba anaweza kuspecialize kweny transportation and water projects vitu ambavyo architect hawez

pia Engeneer anaweza kudesign simple residential house ambayo ni kazi ya architect kimsingi hapa haulali njaa unakula vi laki mbili vya harak

kwhy dogo me nakushauri soma architecture ukizingatia haina competition na ni wachache architect akipiga deal moja anaweza asifanye kazi nyingn hata kwa miaka kumi anajilia pesa zake
 
Civil Engineer, ni moja ya course ambayo ipo wide in application than Archtecture . A well and competent civil engineer. Anaweza fanya kazi katika Building construction, Highway and Transportation Engineering , Water and Hydraulic transportation and any other Construction activities taking place in our country. Contrary to Archtecture who mainly has to deal with Building drawing... ( Unaweza ni pm kwa maelezo zaidi)

Umeongea kweli tupu. Kwenye majengo, Architect ni team leader, ila kwenye miradi ya Civil( barabara, mabwawa, visima, weirs, acqufiers, bridges, irrigation schemes, retaining structures si Architect wala Quantity Surveyor anahusika professionally, Civil unakuwa na wide spectrum
 
ila civil hawezi kuspecializ vyte kuanzia mwaka wa nne civil ana specialize kimoja si vyote na kimsingi wengi wanaingi building construction wanakutana na architect na qs bcoz hzo field nyingn wanakosa capital ya kuanzisha firm zao na pia serikali upenda kuwatumia wageni zaid kweny miradi hii ambyo kimsingi tunasem ni publuc goods
 
Inategemea mkuu. Kwa mfano mimi nilisoma Highway Engineering mwaka wa mwisho, ila masomo( modules) zote za Structural Engineering( and detailing) tulisoma miaka ya nyuma yake. Kuja kufanyakaz nikafanya za barabara, lakin baadae niliamua kufanya design kwa Consultant miaka 2, niko vizuri na nadesign maghorofa sana, lakini pia nilishadesign Retaining wall, ikapata kibali then ikajengwa! Lakini pia nilishawahi kufanya mradi wa maji. So Civil Engineering naiamini kwa kuajiriwa, kujiajiri au kuchukua tender za kawaida za majengo na civil works. So kutegemea na ulivyojipanga, Civil iko poa.

Nakubaliana na mdau kuwa kwa Building Works, Architectural Consultancy ina bei kubwa kuliko Building Consultancy kwa kuwa sheria zinazoongoza zinasema Architect kwenye miradi ya Majengo ni team leader na hivyo ana fee kubwa. Lakini hilo lilifanyika kwa makusudi kwa kuwa kwenye nyumba/ jengo Architect anapaswa atoe detail nyingi kuliko Structural Engineer ambae akishamaliza michoro yake na Structural Components zikishakamilika tu yeye kamaliza, Architect bado ataendelea hadi jengo lote likamilike: vitasa, finishing, landscaping na vikorokoro vyote!
 
Nakushauri soma Civil Engineering. Na, kama utaniamini basi chuo bora zaidi kwa course hiyo kwa miaka ya sasa ni DIT; ninachokueleza ni ukweli, na nimekueleza hivyo ijapokuwa mimi sijasoma DIT. Kama utaongozwa na ushabiki wa watu humu jukwaani, basi nenda UDSM-CoET; ila kuna siku utajilaumu na utanikumbuka tu. Ila kumbuka kuwa unaweza kuwa mahali bora na bado ukawa wa hovyo kutokana na kutojituma kwako.
 
chkua civil engineering kwny branch yoyote, either structural, transportation au hata water resources; zinalipa kinoma.. hazitakutupa kamwe mwng
 
Nakushauri soma Civil Engineering. Na, kama utaniamini basi chuo bora zaidi kwa course hiyo kwa miaka ya sasa ni DIT; ninachokueleza ni ukweli, na nimekueleza hivyo ijapokuwa mimi sijasoma DIT. Kama utaongozwa na ushabiki wa watu humu jukwaani, basi nenda UDSM-CoET; ila kuna siku utajilaumu na utanikumbuka tu. Ila kumbuka kuwa unaweza kuwa mahali bora na bado ukawa wa hovyo kutokana na kutojituma kwako.

sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Mh,so UDSM civil yake mbovu au?fanya research mkuu,but mimi macivil engineer wengi tena wanafanya kazi nzur wametokea hapo.so wewe ukiwa unapaponda toa na sababu ili tujue na sisi
 
Hajaponda kakupa real fact! Siyo kwamba anaponda amekupa ushauri tu. Ijapokuwa umahiri wa mtu unatokana na juhudi za mtu mwenyewe kwamba whether umetoka CoET au DIT ukijituma utakuwa competent tu!
 
kwani hyo ya DIT umejuaje ni nzur kuliko ya udsm me npo ardhi najua wazi kwamba udsm wapo vizuri kuanzia walimu wao mpka infrastructurez kwa kifupi udsm wana soko sana kwenye engnrng DIT sawa lakini huwez kucompare na udsm kaka
 
dogo chukua architecture hutajutia achana civil japo nayo iko vizuri lakn architect ndio analipwa vizuri compared to civil(structural Engeneer) analipwa 6% whle Qs and structural Engeneer 3% ya cost zote za ujenzi cz yeye ndio chairperson wa construction consultant team

uzuri wa civil upo kwenye sehemu moja kwamba anaweza kuspecialize kweny transportation and water projects vitu ambavyo architect hawez

pia Engeneer anaweza kudesign simple residential house ambayo ni kazi ya architect kimsingi hapa haulali njaa unakula vi laki mbili vya harak

kwhy dogo me nakushauri soma architecture ukizingatia haina competition na ni wachache architect akipiga deal moja anaweza asifanye kazi nyingn hata kwa miaka kumi anajilia pesa zake

Elezea iyo % vizuri mana kwenye industry hakuna icho kitu
 
Umeongea kweli tupu. Kwenye majengo, Architect ni team leader, ila kwenye miradi ya Civil( barabara, mabwawa, visima, weirs, acqufiers, bridges, irrigation schemes, retaining structures si Architect wala Quantity Surveyor anahusika professionally, Civil unakuwa na wide spectrum

QS yupo uko kote incase kama ujui
 
QS yupo uko kote incase kama ujui

Hata Engineer akiwa mfuatiliaji anaweza kaz basic za QS ambazo ndo applied kwenye valuations na preparation of bid docs. Hii haimaanishi yuko deep kama QS ambae kasomea Building Ecomics. Na hiyo ni true kwa QS kufanya valuation hizo za Highway kwa kuwa kimsingi kila mmoja ana modules au course za mwenzake kapitia. So nakubaliana nawe lakini ni sahihi kwa kila upande: Architect-Engineer- QS ( Building projects Only)
Au: Engineer-QS( Civil and Highway Projects) Japokuwa Architect anaweza kuwa anajua lakini hapa iko tofauti. Kazi nyingi za Architect ni za muonekano nadhifu na finishing za kutosha. Haitarajiwi kuona daraja lina tiles nk!
 
Back
Top Bottom