Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

jamani msishabikie hali iliopo. Kwa kweli huku zenj hali ni ya wasi wasi, huenda hali ikawa mbaya zaid kesho iwapo farid hatoonekana. Tayari kauli za ulipizaji kisasi. Mungu atuepushie yote. Lakini hali ni tete zenj.
 
Issue sio hivyo. Hawa hawatakiwi kukamatwa.. Watu kama hawa unawapoteza

Hata hilo pia ni wazo zuri, japo sio rahisi Serikali ikawapotezea maana itajiuliza itawapotezea wangapi, sio kama nakufuru au natukana mtu lakini binadamu wengine nadhani kichwani hakuna ubongo ila unga wa mhogo, sasa ukiwapotezea watu kama hawa wataona ni haki yao kutenda wanayotaka hata kama wanavunja sheria, subiri atoke huko selo utasikia pumba atakazotema mtaani.
 
Watu kama Ponda Nyerere alikuwa anawapoteza forever! Jiulize Kassim Hanga yuko wapi?
 
Kova ni dhehebu gani?
Naona wanamwagia petrol kwenye moto
you are totaly wrong. That is the only option na tena apewe adhabu kali zaidi iwe mfano kwa wengine wenye tabia mbaya kama ya kwake. Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini na hatupaswi kulazimisha kila mtu awe muislam au mkristu. Na kama ningekuwa Rais ningekiuka hata katiba na Ponda na wenzie wangepigwa risasi hadharani. I am sorry for this. Mimi ni muislam but najaribu kuangalia future ya watoto wetu katika nchi inayoanza kujifunza mambo ya vurugu zisizo na maana yoyote. Leo misikiti ichomwe au makanisa na kesho nyumba za wakristo au za waislamu. This is unacceptable na serikali naona kama imechelewa sana. Mali ya m700 na zaidi kuchomwa kwa masaa machache watu wamejinyima kuchangia aisee big no. Sheria iende zaidi ya hapo.
 
Hata hivyo
wamechelewa, eti uvumilivu umewashinda? Alitakiwa awe ameshakamatwa
zamani na kushtakiwa, it is too late now, kesha mwaga mboga
sasas.

Kweli mkuu wamechelewa mno! Ilitakiwa pale mwanzo tu inteligensia ingestukia angeshughulikiwa! Lakin hata hivyo sio mbaya tunajua kuwa wapo.
 
QURAN takatifu inasema;
Akatoa mfano wa bedui aliyeingia msikitini na kuanza kukojoa mkojo mbele ya MTUME MUHAMAD (SAW) akasema maswahaba wa MTUME walipotaka kumdhibiti MTUME aliwaambia msifanye hivyo bali wamwache amalizie mkojo wake.
Alipomaliza akawaambia sasa mleteni, Akamwambia kuwa alipokojoa ni msikitini; nyumba ya ibada, nyumba ya mwenyezi Mungu! Baada ya kuelimishwa vizuri yule bedui alikiri nao wakamwacha aendezake salama..HUU NDIO UISLAMU SIO KUCHOMA MAKANISA NA KUHARIBU MAGARI YA WATU AMBAO PIA KUNA WAISLAM TUHESHIMU IMANI ZA WATU NA KUPINGA UDINI KWA NGUVU ZOTE.
 
Sura gani hii kwa manufaa yangu.
 
Chezeya waislaam wewe subiri Ijumaa wakajazane ujinga wao baada ya swala ya mchana ndo utajua kama serikali inawaheshimu waislam ama inawaogopa.Nimemkumbuka sana rais wangu mpendwa Ndugu Benjamini William Mkapa, hata kama aliharibu mwishoni he will remain to be my icon forever.Enzi zake ushenzi huu wa waislam kujazana upuuzi usingeusikia engewanyosha mpaka wangenyoka

Hata chadema angewanyoosha, usimfikie mtu katili hakujenga kitu hata kama aliwanyanyasa waislamu bado ni watanzania, nchi ya kibalakala imejaa dhulma kama wao magangwe wangemlinda RPC wao kafa kifala kabisa
 
QURAN takatifu inasema;
Akatoa mfano wa bedui aliyeingia msikitini na kuanza kukojoa mkojo mbele ya MTUME MUHAMAD (SAW) akasema maswahaba wa MTUME walipotaka kumdhibiti MTUME aliwaambia msifanye hivyo bali wamwache amalizie mkojo wake.
Alipomaliza akawaambia sasa mleteni, Akamwambia kuwa alipokojoa ni msikitini; nyumba ya ibada, nyumba ya mwenyezi Mungu! Baada ya kuelimishwa vizuri yule bedui alikiri nao wakamwacha aendezake salama..HUU NDIO UISLAMU SIO KUCHOMA MAKANISA NA KUHARIBU MAGARI YA WATU AMBAO PIA KUNA WAISLAM TUHESHIMU IMANI ZA WATU NA KUPINGA UDINI KWA NGUVU ZOTE.

kwani magari yalikua na msalaba mbona mnahusisha matukio na dini, hili ni tukio ambalo lilitokana na kundi la watu ambao penye vurugu hakuna busara lolote watu wanawezafanya, wangekua waislam wamepanga kwenye mkutano kua twende kuchoma makanisa ingehusishwa na uislam. vurugu ndo zilivyo inaweza kua wazo la mtu mmoja kwa jazba zake ikapelekea hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom