Kakamatwa kwa makosa gani??
Hizo ni nguvu za soda. Kesho utasikia Shekhe Ponda ametoroka mahabusu na hajulikani alikotorokea.
Kova kamata hiyo mijitu yote. Kama msipofanya hivyo leo kesho baada ya kunogewa kuchoma makanisa wataichoma ikulu. Kisha watatangaza nchi inaongozwa kwa sharia kutokea msikiti wa Mtambaani.
.
Story za kwenye vijiwe vya gahawa hizo.. Huwabadilishi...
This is the temporary solution lakini permanent solution NI KUTOA ELIMU KWA WOTE WAKRISTO NA WAISLAMU kuelewana na kuheshimiana!!
Watu kama Ponda Nyerere alikuwa anawapoteza forever! Jiulize Kassim Hanga yuko wapi?
kweli kabisa ndugu yangu,tena watambue hakuna dini iliyobora kuliko ya mwingine hivyo ni jukumu lao wote kuheshimu imani za wengine.
nachoshukuru maaskofu wameshaweka msimamo wao, wanasubiri serikali dhaifu, kama unavyoona hawajajikomba, na wakristo wanasubiri tu kuanza kazi, wanachoma makanisa wasiyoyajenga, wanaharibu mali wasizochangia, wao wamezoea kujengewa miskiti na Gadafi sasa hayuko kinachofwata ni Jino kwa Jino lazima wakristo wajilinde, oneni yaliyotokea Nigeria walivyoenda kuua wanafunzi kwa kuuliza majina, waliouawa wote ni wakristo, hapa hawatakubali watoto wao wakazikwe kwa kushabinia radio imaan, Ponda na Uamsho, acha yawakumbe waliyaanzisha wenyewe kwa kupanga safu yao na sita shangaa hao wakina Said Mwema, Suleiman Kova, Chande, etc etc wakiwa sehemu ya Genocide kama ile ya Rwanda, ombeni sana mungu tutawashitakia wapi
Usitowe lawama Mkuu, nijibu simple question, Kakamatwa kwa kosa gani???????
Amewataka waliokuwa wafuasi wake waliofanya kazi naye kwa matukio ya kutisha BAKWATA, kuvamia kiwanja yaliyotokea mbagala amesema ni matokeo ya kazi ya taasisi yake. Pia amekamatwa kwa uchochezi Kova amesema uvumilivu kwisha, "Kama tumemkamata ponda kwa mbinu za kijeshi tutashindwa wakina ponda wadogo wajisalimishe msako unaendelea"
Toa maoni ponda kaonewa, Wametatua tatizo au wamezalisha mengine, Nini athari za kukamatwa kwake busara itumike kuziepusha