ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?
Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.
Ingawa nina maslahi ktk hili, lakini huwa sielewi kwa nini goverment huwa wanawanywea sana viongozi na kanisa kwa ujumla.