Kova Ameruhusu Maandamano Ya Kuchangia Mradi Wa askofu Gammanywa tar 26/11/2011 !!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Tarehe 26/11/2011 ,Jeshi la polis Limeruhusu Maandamano ya Kuchangia Mradi wa Kutoa sumu na Chuo Cha Maadili Unao Ongozwa na askofu Gammanywa wa Wapo Radio uliopo Mtaa wa Loliondo Kurasini!!!Taarifa kutoka kituoa Cha Wapo Radio zinahamasisha Wananchi kuhudhuria Maandamano hayo ambayo yanalenga kuchangisha 500m. Mtangazaji amesisitiza watu wengi wahudhurie na kwamba mgeni rasimi atakuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye anafungua mradi huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kutembelea Mda mfupi baada ya kusimikwa urais. Jambo la kushangaza Jeshi la polis limepinga marufuku maandamano ya Kupinga Mswaada jumamosi kwa sababu za Al shababu lakini wameruhusu maandamano kwa Askofu Gammanywa wa Loliondo
 
Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini

images
images
 
namshukuru sana kova kwa kuruhusu maandamano ya huyo askofu kwani PIGA UA GARAGAZA KILA MTANZANIA MWENYE AKILI TIMAMU ATAGUNDUA KBS KUWA ANANYIMWA HAKI YAKE YA KUDAI HAKI YAKE KWA MAKUSUDI KWA MASLAI YA MAFISADI na mwanaharakati kama mimi lazima niandamane tarehe 26 hata waseme nini, NIMEAMUA MOJA.
 
No.. hapana,hili haliingii akilini kabisa,kuzuia maandamano ya kudai HAKI na kuruhusu harambee!!!!?? INA MAANA HAO AL-SHABABU WANAWINDA MIKUSANYIKO YA WADAI HAKI TU? NINI MAANA YA KUWA NA JESHI LA POLICE?YANGEKUWA MAANDAMANO YA KULIPONGEZA BUNGE KUUPITISHA MSWADA WANGEZUIA?
UNANUKA MDOMO KOVA...
 
Yaani huyu KOVA ananiudhi... PTUU!! Muulize Kandoro akuambie nini maana ya PEOPLE'S POWER ..MIMACHO TU KODOO!!
 
Hiii nchi ya ajabu sana sijui ni lini hawa watu wanaokabidhiwa madaraka wataacha kukubali kutumiwa ,,,??????????,especial sehemu kama polisi sijui ni lini watakataa kutumiwa na kufanya mambo kama sheria inavyowaelekeza maana wanatumiwa wanaenda enda tu kama maboya wanatumiwa kisiasa ,,,,, tatizo this tanzania kila mtu ni mwanasiasa..... hawamwoni mwenzao magufuli alivyofunguka KWA MWANA KIKWETE AKAMWAMBIA MHESHIMIWA ULINIKABIDHI SHERIA ACHA NITEKELEZE SHERIA....
:A S 465::A S 465::rant:
 
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?

Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.
 
Waandamanaje wote wa katiba waende kwenye haya maandamano ya Askofu na mabango ya kudai muswada ya wote! Very easy. tena mbele ya Pinda watu watoe mabango ya kudaia muswada wa watanzania wote sio wa CCM!
 
hivi wewe una akili kweli!? Sasa hapo magwanda wameingiaje!'
 
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?

Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.
Na mujahidina wanapoandamana kila baada ya Swalat'Jumaa ni sera za magwanda na kanisa?
FF, Kwanini unapenda sana kutetea mambo ya udini hata pasipobidi?
 
Tatizo kupewa vyeo bila kujua nin mana ya cheyo alichnacho kama alshababu wanakuja azuie maandamano ya uchangiaji wa kanisa pia azuie mashndano ya challenge na burudani itakayofanyika j.mosi ya tar 27 ya pale leaders na viwanja vya ustawi wa jamii avizuie cyo kuwa na uswahili kwa vi2 vya msing wa2 2nataka katiba itakayomsaidia hata yeye mwwenyewe jinsi ya kupambana na waharifu sa sa anakuwa na tabia zi7izo na mana
 
Kwa kwaaaaaaaa kwa, teh teh teh, Al Shabab wapo wengi sana Tanzania, Wa kwanza Kinana! Halafu Rage, Bashe, na wale wasomali wote mliocheza nao, soma nao, na wale Wazigua Waliopewa hifadhi pale Mkata. Halafu usisahau vijana wote Wa Tanzania, maana ya Al Shabab ni vijana, jee hakuna vijana Tanzania?

Siku hizi Maaskofu wanafanya michango kwa maandamano? kweli sasa naamini sera za magwanda ni za kanisa.

Kumbe ulishapewa parole? Inaonekana nimemiss mengi.
 
Waandamanaje wote wa katiba waende kwenye haya maandamano ya Askofu na mabango ya kudai muswada ya wote! Very easy. tena mbele ya Pinda watu watoe mabango ya kudaia muswada wa watanzania wote sio wa CCM!

Nna uhakika Pinda atayapokea maandamano ya Askofu huku kapinda. Teh teh teh.
 
Na mujahidina wanapoandamana kila baada ya Swalat'Jumaa ni sera za magwanda na kanisa?
FF, Kwanini unapenda sana kutetea mambo ya udini hata pasipobidi?

Hivi huwa Mujahidina huwa wanaandamana? hebu nipashe, wanadai nini? michango ya Mufti au hawamtambui Rais?

Ukiwaona Waislaam wanaandamana siku ya Ijumaa ujuwe kuna mmoja wao kawaalika Biriani, (zamani) wakitoka Manyema wengi wao wanaishia kwa Marehem Bi khadija pale Udoe kwa kina Hussein Yanga, (Muulize Mkandara kama unabisha, mitaa yake hiyo) biriani baba aaaaah, biriani la Bi Khadija. Wislaam huwa hawana upuuzi wa kuandamana kudai kisichojulikana.
 
Back
Top Bottom