Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Asante, Inaonekana kama umenielewaWell said, kumbe anatakiwa kuvaa sare ili atambulike kirahisi?! Good.
Kidogo umechanganya mada. Umeanza kuzungumzia ushahidi wa kuokoa mahakamani, kabla hujamaliza point vizuri ukahamia kwenye kuwa targeted na ghafla ukaenda kuelezea sare na prominence ya mwandishi. Be specific, what do you real want to say? Anyway, we know Mwangosi alikuwa mwanahabari, na tunakubaliana RPC alimfahamu fika Mwangosi kuwa ni mwanahabari. Na tunakubaliana fika kuwa RPC alikuwepo akishuhudia mwangosi akikamatwa, kuteswa na kisha kuuawa mbele yake. Tunakubaliana kazi ya Uniform ni kumtambulisha tu mtu not otherwise. Kama jibu ni Yes kwa maswali yote, how comes uniform tu ndio imfanye asiuawe wakati amekufa na kamera mkononi mwake huku RPC akishuhudia mwanahabari anauawa??Despite being a target, claim ambayo mahakama pekee, kwa ushahidi usio acha shaka ndio inaweza kuthibitisha as to whether he was targeted to be murdered, sare ingeweza kumtofautisha na mtu asiye mwandishi kwa urahisi, kitu ambacho in one way or another kingeweza kuokoa maisha yake, and not whether he is prominent or not.
Unataka kutuaminisha kuwa Polisi hawakujua kama Mwangosi ni mwanahabari kwa kuwa hakuwa na uniform. U r very wrong Sir!
Nilieleza hili kwa urefu katika maelezo ambayo ulionekana kama umeyaelewaKwanini hakuvaa sare?
Kama ulifuatilia tukio la Buguruni, kulikuwa na waandishi wengi pale. waliojulikana ni hawa wawili na makoti yao na wakapigwa hadi mmoja kulazwa Amana. Waandishi ambao walikuwepo bila kuwa na uniform waliokoka kwa kutokujulikana na kisha ndio waliotoa habari kituo cha polisi BuguruniHayo matukio ya waandishi kupigwa Buguruni thats another case ambayo siyo excuse ya mwandishi kutovaa sare!
GOOD! Mpelelezi yeyote huwa ni stranger anayejifanya kuijua sana sehemu husika ili apate taarifa. Likewise, jambazi hujifanya kuijua vema sehemu pia ili asishtukiwe na ndio sababu wananchi walimfananisha mpelelezi na jambazi, wote ni strangers.Polisi au wanajeshi wangapi wameshapigwa au kuuawa mitaani wakiwa hawana sare? Make reference kwa kifo cha polisi mpelelezi huko Tabora kwa kupigwa na wananchi waliojichukulia sheria mkononi, alikuwa hana sare na ni kwasababu tu walimwona ni stranger kwenye maeneo yao na kulikuwa na tukio na wizi alilokuwa anapeleleza.
By the way, mahali ambapo askari polisi hapendwi au hatakiwi, ni rahisi zaidi kumdhuru akiwa na uniform kulikon akiwa hana uniform kwa sababu ni rahisi kumtambua. Pia kwa mwanahabari, sehemu ambapo hatakiwi ni rahisi zaidi kushambuliwa akiwa na uniform kama vikoti vya wale walioshambuliwa Buguruni, kuliko asipokuwa na uniform.
Hope maelezo yoote hapo juu utakuwa umeyaelewa vema hadi hapa.Sawa, sare sio uandhishi, ila ni muhimu sana kwa kazi yako!