mkweli1961
Senior Member
- Nov 9, 2010
- 148
- 44
Kwani yeye alipaswa kuwa waziri wakati? Lazima aachie wengine nao wale keki hiyo
<br />Bonge la contradiction. Yaani mmoja yuko genuine akafukuzwa na mwingine ni genuine akabakishwa kwenye cabinet. Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba service in the cabinet ni kwa ridhaa ya appointing authority. Hata kwa kuzingatia regional or geographical balancing, kuteua mawaziri wawili kutoka wilaya moja as if mkoa mzima hauna wenye sifa ilikuwa ni issue ambayo ilihitaji kutazamwa upya.
<br />
<br />
Mbona kombani na mponda wanatoka wilaya moja? Au hujui?
Hivi waziri anayetoka Kigoma ni nani vile?
ningali natafakari
ningali natafakari
Kosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.
Ukiwa too genuine CCM wanakuona sio mwenzao, wao wanapenda mambo ya kiunafiki nafiki tuu!. Wale ambao sio wanafiki mwisho wao ndio kama ya Mwakyusa!.
Mimi tetesi nilizosikia ni kwamba baada ya mkulu kuanguka katika mwanzo wa kampeni zake, Mwakyusa alitaka madaktari wa rais (Dr. Janabi) wamwambie mheshimiwa anaumwa nini. Kama nilivyosema, ni tetesi, sina uthibitisho.Bonge la contradiction. Yaani mmoja yuko genuine akafukuzwa na mwingine ni genuine akabakishwa kwenye cabinet. Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba service in the cabinet ni kwa ridhaa ya appointing authority. Hata kwa kuzingatia regional or geographical balancing, kuteua mawaziri wawili kutoka wilaya moja as if mkoa mzima hauna wenye sifa ilikuwa ni issue ambayo ilihitaji kutazamwa upya.
Jaman,mavi ya kale hayanuki, hivi huyu mkuu ni nini hasa kilimsibu,hadi kupigwa chini? Nimekutana naye kona fulani, nikajiwa na tashwishwi ya kulikoni ,labda nikadhani ni mzee wa visasi alimpiga panga..Mimi tetesi nilizosikia ni kwamba baada ya mkulu kuanguka katika mwanzo wa kampeni zake, Mwakyusa alitaka madaktari wa rais (Dr. Janabi) wamwambie mheshimiwa anaumwa nini. Kama nilivyosema, ni tetesi, sina uthibitisho.
Nina imani utayakana haya uliyoyasema kuwa JPM ni mtu wa MISIFAKosa lake ni lile lile lililofanya Prof. Mark Mwandosya kuenguliwa kwenye kuwania urais because ni too genuine. Prof. Mwakiyusa ni very genuine, humble na down to earth vitu ambavyo JK havipendi. Yaye na Mwandosya sio watu wa kujikombakomba, hivyo kuonekana viburi. Magufuli pia ni mzuri yuko very practical, tatizo lake ni kupenda masifa mno hadi kufikia kufanya baadhi ya maamuzi kwa masifa ili kujikombakomba kwa JK, matokeo yake baadhi ya maamuzi yake yataicost nchi hii bilions!.
Ukiwa too genuine CCM wanakuona sio mwenzao, wao wanapenda mambo ya kiunafiki nafiki tuu!. Wale ambao sio wanafiki mwisho wao ndio kama ya Mwakyusa!.
Mkuu Kidadari, nimeyakana, sio mtu wa misifa, ni mtu low profile, very humble, down to earth.Nina imani utayakana haya uliyoyasema kuwa JPM ni mtu wa MISIFA
Nilitegemea sana haya mkuu!Mkuu Kidadari, nimeyakana, sio mtu wa misifa, ni mtu low profile, very humble, down to earth.
Umeridhika?.
Tuendelee na maisha.
P.