Kosa la CHADEMA ni lipi?

Rabi wa Leo

Senior Member
Mar 5, 2012
104
25
Ndugu zangu,nashangazwa sana na wachangiaji wengi,hasa kwenye hoja zinazohusu utaifa.Kila ukipinga uovu wa serikali unatuhumiwa kuwa wewe ni mfuasi wa Chadema.Katika taasisi za elimu ya juu,kila ukihoji uovu wowote,wewe ni member wa Chadema..Tuwapo humu mtandaoni,ukikosoa ubaya wa watendaji wa taasisi za serikali na serikali kwa ujumla,wewe ni wa Chadema..CHADEMA sasa inafikia kuitwa kikundi cha kikanda cha wanaharakati wakorofi na si chama cha siasa cha watanzania wote..KOSA LA CHADEMA KUPINGA UOVU NI LIPI?
 
Sikwamba naungana na wanao ituhumu CDM bila sababu za msingi, ila vijana wengi wamekuwa na CDM syndrome, pale unapoikosoa chadema unaonekana kuwa wewe ni gamba, na matusi mengi unatupiwa, swala lamsingi ni kuweka utaifa mbele, cz wanasiasa hawataipeleka nchi yetu popote zaidi ya kuirudisha nyuma!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom