BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Mbalamwezi,
Soma tena ripoti kwa makini. Hawa si wawekezaji. Wanakuja mkono mtupu, wachimbe madini, wakipata hela ndipo waziingize kwenye kilimo. Halafu mnagawana mavuno nusu kwa nusu wakati hela ya madini wanaweka mifukoni. Hii wala si win-win situation. Ni win situation kwa Wakorea.
Watu hawataki kuliona hilo Jasusi. Hao 'wachukuaji' wanakuja bila hata mtaji wanavuna rasilimali zetu ili kupata mtaji wao halafu huo mtaji uliopatikana kupitia rasilimali zetu ndiyo wanawekeza halafu kwa ujinga wa Tanzania tunasema tumewakaribisha 'wawekezaji' kumbe hawana uwekezaji wowote ni matapeli tu! Only in Tanzania!