Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 171
... Mazao watakayolima ni kwa ajili ya soko lao. Uharibifu wowote watakaoufanya wakati wa kuzalisha hayo mazao ni mzigo wetu na vizazi vijavyo. Moja ya sababu ya kukimbilia kwetu ni kukwepa masharti magumu ya mazingira yaliyopo nchini mwao. Hapa wanajua wataweza kufanya lolote bila mtu kujali wala kuuliza. Hizo infrastructure zitawekwa kwa ajili yao na zitakidhi mahitaji yao wakati wapo... Hapana, huu mradi haustahili.
Mkuu Fundi,
Nimecheka sana. Kwa hiyo sasa naona unachokiona hapa ni tuzuie miradi kama hii kutokana na udhaifu wetu huo uliouelezea hapo juu.
Je, kwa udhaifu huu, si tutaendelea kukosa any growing opportunities, Je ni kwa nini tusiondoe udhaifu wetu na tukaamua sasa ku team up na wawekezaji katika win-win situation? Unaonaje hilo? Au basi, kwa nini tusifanye wenyewe tu hii miradi?