Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Thank you Uncle... Shakmoo and karibu chai na cake
Perfect Mwali....thank you so much....sasa nimechangamka....and, worry not kuhusu ODM.....okay?
Thank you Uncle... Shakmoo and karibu chai na cake
Naona kama nimetembelewa na karoho ka wivu. Dah!
Sorry Anti... nina mawazo kichwani...Mwali my mwali.... ankal wako asifia kweli chai unayompa.... ila nasikia umeanza tabia mbaya! Unachelewesha kudeliver hivo kumfanya aanywe haraka saana au kuikosa kabisa! Umeanza tabia gani mbaya? Au bado Ivuga anakuja nyumbani kukutembelea wakati hujamaliza chai? umeniudhi saana, Husny mwenzio sijapata lawama hata moja!
This is so unfair!!! :smash:
Na babuyo umenandalia nini? Si wajua mie napenda vya vuguvugu?
Hujanijibu ujue....
Mwali my mwali.... ankal wako asifia kweli chai unayompa.... ila nasikia umeanza tabia mbaya! Unachelewesha kudeliver hivo kumfanya aanywe haraka saana au kuikosa kabisa! Umeanza tabia gani mbaya? Au bado Ivuga anakuja nyumbani kukutembelea wakati hujamaliza chai? umeniudhi saana, Husny mwenzio sijapata lawama hata moja!
Haya Niulize mimi sasa...wataka Mwali akujibu nini lol
Mwali leave this to me...
:tea:Hommie hapo juu. Leave my mjukuu alone. Damn... Ngoja nisogee hapo mamsera.
This is so true...Mwali taratibu tu utamzoea babu yako,ila... Washirikishe the rest of wajukuu,then mje na consesus,na kuwa muwe tayari kumvumilia mjukuu mwenzenu(Kongosho), akiwa anawaaga anaenda kulala..
For the sake of mahusiano mazuri na babu..
ADI, unachakachua sredi ya ODM?
kamming? mmmhhhh!!!!!!thanks babu ODM
am kamming...
Sorry Anti... nina mawazo kichwani...
Hivi unaweza kuamini ile thread ya valentine Ivuga kamuomba Kabakabana????
Kweli yale ulikua unanambia kuhusu wanaume nimeanza kuyaona... :disapointed:
But I am happy I have you, and Uncle, and the rest of the family...:grouphug:
Sweetie., she is making it up....and she is good kabisa lol mafunzo naona makali kweli haya
furaha iliyoje to see you back,karibu na pole.Good morning B'
Hongera Babu kwa kuopoa jibibi la nguvu lol!And I will marry you too!
Heshima yako big sisy,Good morning B'
My dia mwali ndio km hivo umeona maamuzi ya babu,This is so true...
Itabidi tupange this weekend wajukuu wote tukutane na tuongee.
furaha iliyoje to see you back,karibu na pole.
ila mi nashangaa babu yenu anahangaika na dume jenzake,uzee mbaya aisee yaani hadi macho yanashindwa kutofautisha He na She.
Heshima yako big sisy,
Hope uko poa now,
Missing u sana aisee!