Kongosho asali ya ODM....

Thank you Uncle... Shakmoo and karibu chai na cake

Tea%20pot%20and%20cakes.jpg

Perfect Mwali....thank you so much....sasa nimechangamka....and, worry not kuhusu ODM.....okay?
 
Mwali my mwali.... ankal wako asifia kweli chai unayompa.... ila nasikia umeanza tabia mbaya! Unachelewesha kudeliver hivo kumfanya aanywe haraka saana au kuikosa kabisa! Umeanza tabia gani mbaya? Au bado Ivuga anakuja nyumbani kukutembelea wakati hujamaliza chai? umeniudhi saana, Husny mwenzio sijapata lawama hata moja!
Sorry Anti... nina mawazo kichwani...
Hivi unaweza kuamini ile thread ya valentine Ivuga kamuomba Kabakabana????
Kweli yale ulikua unanambia kuhusu wanaume nimeanza kuyaona... :disapointed:
But I am happy I have you, and Uncle, and the rest of the family...:grouphug:
 
Sweetie., she is making it up....and she is good kabisa lol mafunzo naona makali kweli haya
 
Mwali taratibu tu utamzoea babu yako,ila... Washirikishe the rest of wajukuu,then mje na consesus,na kuwa muwe tayari kumvumilia mjukuu mwenzenu(Kongosho), akiwa anawaaga anaenda kulala..
For the sake of mahusiano mazuri na babu..
 
This is so true...
Itabidi tupange this weekend wajukuu wote tukutane na tuongee.
 
Sorry Anti... nina mawazo kichwani...
Hivi unaweza kuamini ile thread ya valentine Ivuga kamuomba Kabakabana????
Kweli yale ulikua unanambia kuhusu wanaume nimeanza kuyaona... :disapointed:
But I am happy I have you, and Uncle, and the rest of the family...:grouphug:

Wewe si nilikuambia wanaume sio maneno tu na vitendo pia.... Ivuga ana maneno mengi matendo haoneshi....lol... Yule kabakabana wa Excellent, kisha ula wa chuya mwenyewe atajilta ndio ataponitambua!

Sweetie., she is making it up....and she is good kabisa lol mafunzo naona makali kweli haya

I have observed that sweetie.... shez back at being a good gal that Ivuga is no good for her.... I think she should just stick around with her ankal and learn more about men.
 
This is so true...
Itabidi tupange this weekend wajukuu wote tukutane na tuongee.
My dia mwali ndio km hivo umeona maamuzi ya babu,
Hili wala lisikupe tabu ndugu yangu,
Njoo huku nikupe mpango mkakati wa haya maamuzi ya huhu Mzee,
Kinahitajika kikao cha haraka na cha dharura cha wajuu wote!
 
furaha iliyoje to see you back,karibu na pole.
ila mi nashangaa babu yenu anahangaika na dume jenzake,uzee mbaya aisee yaani hadi macho yanashindwa kutofautisha He na She.

Nafurahi umefurahi B'.... ila tu wanchekesha kuona Kongosho ni kidume sababu tu kakutolea nje na kumdondokea shemeji yangu... acha wivu na tafuta velentinyo mwingine.... Mapesa yooote yale umeshindwa mpata?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom