Kongosho asali ya ODM....

Mi niko tayari. Husninyo amesha tutoka (Fang),
Michelle ndio alie mpikua Kongosho kwa The Boss
na sasa Kongosho kamvamia babu (au kavamiwaaa??)
Lazima tukae, turegroup na tutafute strategy hapa.
Ila nimeona Kongosho kasema hapo juu she is for an open marriage
Hivo maybe babu atakua available kwa ukaguzi wa hapa na pale
Kumbuka mi sijakaguliwa (kwa kukataa, sio kwa kukosa kuitwa!)
Uko sahihi kbs,km kongosho atakua habani sana anaweza kuwa shosti wetu tu,
Tena itakuwa vizuri kwan kwa pamoja tutamuweka babu mtu kati lol!
Itabidi udai haki yako ya kukaguliwa ili kukamilisha undugu huu!
 
hahahahaha.... Mie case hizo za wajukuu hua naangalia tu, maana wajukuu wa babu woote ni wapendwa wangu saana. Hivo nakua observer may the best woman win!! BTW Katika mambo kama haya usikubali kabisa kua mshindwa... nikudokeze technique? lol
Yes nakusikiliza maana haya mapinduzi najua ha zion D. yatamuuma kiana lol!
 
Point of correction
Hakuna anayeweza nipikua hapo
Nina mitala kwa kweli, ujue hiyo ni kongosho yangu
Michelle namuonjesha tu mapishi ya nyumbani kwangu
Hadi HC atakaporudi

Mi niko tayari. Husninyo amesha tutoka (Fang),
Michelle ndio alie mpikua Kongosho kwa The Boss
na sasa Kongosho kamvamia babu (au kavamiwaaa??)
Lazima tukae, turegroup na tutafute strategy hapa.
Ila nimeona Kongosho kasema hapo juu she is for an open marriage
Hivo maybe babu atakua available kwa ukaguzi wa hapa na pale
Kumbuka mi sijakaguliwa (kwa kukataa, sio kwa kukosa kuitwa!)
 
Mie heshima mbele, thanks to Michelle
Nimeona alivyoniheshimu baada ya kuvamia kitumbua changu
Na mie ntawaheshimu nlowakuta

Kongosho mbona Zion D peace saana? Unafikiri ile nafasi yake ya uongozi ya siasa aliipataje? lol.... Mimi najua atakupokea kwa mikono miwili. Heshima pale ni kiwanda ili mradi tu nawee uende nayo yako juu yake... Mimi nimefurahi saana ujio wako.

Kuhusu MJ1 ukitaka kuweza hili... please achana nae... yeye ndie mjukuu original, nobody can take her place.. wajukuu wanakuja na kuondoka but she remains....lol
 
Exactelly. Nikikuona na Uncle naona the perfect couple. Sasa naogopa nikijenga picha kua wanaume wako kama alivo Uncle wangu, alafu nije nikutane na kina Ivuga, si ndio nitaumia double? Uncle ni exception, I can't learn the rules from the exception Anti...

Usiogope.. you will learn the tricks my Mwali, hata ankal wako alikua hivo hivo, anaenda ana evolve taratibu... Of coz I can brag of my hard work on him na him on me.... na eventually ndio kawa hivo an exception, hivo with the help of ankal and ODM you will get one too....lol (BTW acha kumsifia saana ankal wako, ataanza kunisumbua kwa ku brag! but usiache kabisa...lol)
 
Point of correction
Hakuna anayeweza nipikua hapo
Nina mitala kwa kweli, ujue hiyo ni kongosho yangu
Michelle namuonjesha tu mapishi ya nyumbani kwangu
Hadi HC atakaporudi
Hahahaha, sasa Kongosho utapigana front ngapi mpenzi?
Kabakabana wewe, The Boss wewe, Babu wewe...
wengine hatuna hata wa kutusabahi kwa kutufananisha! dah!
 
Haya, nimekuelewa sasa, na niko tayari kuanza kua nae karibu zaidi.
Hapo pengine (basi nitakua nakwambia wewe tu, yeye asiskii)
Usiogope.. you will learn the tricks my Mwali, hata ankal wako alikua hivo hivo, anaenda ana evolve taratibu... Of coz I can brag of my hard work on him na him on me.... na eventually ndio kawa hivo an exception, hivo with the help of ankal and ODM you will get one too....lol (BTW acha kumsifia saana ankal wako, ataanza kunisumbua kwa ku brag! but usiache kabisa...lol)
 
Sijawaacha kabisa for good
Bado ni vismoo vyangu jamani

Mjue hiki kizee kina mapesa sana
Ntakubadilishia kivits, sasa hivi ntakupa Rav4

Byshernger mwenzio anahela
Bora utulie ivo ivo
Mie penda nimekupenda?? Wewe kweli ni saizi ya ODM,
Safari hii lazima ashike adabu... naona haki sawa kwa
woote once mkiwa pamoja. Nishapiga simu kwa Zion D kukupigia debe!

Mie heshima mbele, thanks to Michelle
Nimeona alivyoniheshimu baada ya kuvamia kitumbua changu
Na mie ntawaheshimu nlowakuta

Saafi saana, hapo mambo yatakua mswano....lol:poa
Alafu Michelle kaanzeje jamani, Hashy ndio huyo alitoka na kipande cha moyo.... tena the Boss, mzee wa the guide? lol
 
Uko sahihi kbs,km kongosho atakua habani sana anaweza kuwa shosti wetu tu,
Tena itakuwa vizuri kwan kwa pamoja tutamuweka babu mtu kati lol!
Itabidi udai haki yako ya kukaguliwa ili kukamilisha undugu huu!

Khaaa! Mwanakwetu.......hivi visee hivi, mbona vimechangamka sana valentine hii?? Alafu mbaya zaidi vinataka kucheza offside!!!
 
Kua uyaone
Ujue huyo mmoja nilimtolea mahari mwenyewe

Uzuri wa babu hana papara
Saizi yangu kabisa
Hahahaha, sasa Kongosho utapigana front ngapi mpenzi?
Kabakabana wewe, The Boss wewe, Babu wewe...
wengine hatuna hata wa kutusabahi kwa kutufananisha! dah!
 
Oh hoooo!! Unategema Zion D ndio amtoe Kongosho? lol... au sijaelewa? yule binti hajali yeye hupokea tu wajukuu woote. Kweli mmeula... alafu mbona babu yenu mwenyew kakimbia?
Sio kumtoa ila ndio ivo tena kapelekewa wa kugawana naye nusu kwa nusu,sie huku twasubiri zamu tu lol,
Sie wala hatujaula coz Kongosho tayari ni shosti na hana mpango wa kutubania so naamini kwa usmati wa konie hata folen itazingatiwa atiii!

Babu nahisi atakuwa mahali anasikilizia reaction ya wajukuu wengine na akiibuka huko sijui atakuja na style gani!!
 
Khaaa! Mwanakwetu.......hivi visee hivi, mbona vimechangamka sana valentine hii?? Alafu mbaya zaidi vinataka kucheza offside!!!
Umeona eee!
Ila kwa ushirikiano wa bi harusi mpya babu hanatakuwa na ujanja coz tayari hana mpango wa kumbania mtu so babu atajishangaa zamu ziko pale pale haijalishi kaoa au vp!!!
 
Umeona eee!
Ila kwa ushirikiano wa bi harusi mpya babu hanatakuwa na ujanja coz tayari hana mpango wa kumbania mtu so babu atajishangaa zamu ziko pale pale haijalishi kaoa au vp!!!

Mwanakwetu na wewe....bado tu wasubiria foleni ya babu?? Ebu twen'zetu kwenye rugby za ukweli bana tukavinjari achana na midevu ya babu bana ishachezewa sana!! Kuna kina kiraka80 huko majunk wa ukweè......lol!!
 
Haya, nimekuelewa sasa, na niko tayari kuanza kua nae karibu zaidi.
Hapo pengine (basi nitakua nakwambia wewe tu, yeye asiskii)

At the moment ukaribu ulionao kwake uko perfect, usizidishe saana....lol Kwenye mabano... PERFECT!! lol
 
Back
Top Bottom